Sikuwahi kujua kama kuna Wazaramo ambao ni Wakristu

Bueno

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2022
Posts
4,114
Reaction score
6,449
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada kuu.

Mimi hapa nimezaliwa mjini Daslamu miaka mingi nyuma kabla ya mwaka 2000, kwa mazingira niliyokulia na watu wengi tulioishi nao ni Wazarumo. Lakini cha kushangaza sikuwahi kuona Mzaramo Mkirstu wengi tulioishi nao mpaka leo ni Waislamu, hii ikanipelekea kujua kwamba hakuna Mzaramo Mkristu.

Sasa cha kushangaza Jana katika pitapita zangu za huku na kule nikakumbana na Bidada mmoja hivi mrembo amenyooka nikamuelewa tukaanza maongezi ya hapa na pale kuchombezana tulipofika kwenye kujua yeye kabila gani akasema Mzaramu ila ukimuangalia ni km Mchagga wa Marangu maana meno yameliwa na kutu, nikashtuka nilipouliza dini ndio nikashtuka zaidi akasema yeye ni Mkristu.

Hivi weewe pia ulikuwa km mimi ukiamini kwamba hakuna Wazaramu Wakristu yaani Wazaramu wote ni Waislamu?

Kwarezima njema wakuu.
Msiache kufunga na kwenda kupakaa majivu.
 
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada kuu.

Mimi hapa nimezaliwa mjini Daslamu miaka mingi nyuma kabla ya mwaka 2000, kwa mazingira niliyokulia na watu wengi tulioishi nao ni Wazarumu. Lakini cha kushangaza sikuwahi kuona Mzaramu Mkirstu wengi tulioishi nao mpaka leo ni Waislamu, hii ikanipelekea kujua kwamba hakuna Mzaramu Mkristu.

Sasa cha kushangaza Jana katika pitapita zangu za huku na kule nikakumbana na Bidada mmoja hivi mrembo amenyooka nikamuelewa tukaanza maongezi ya hapa na pale kuchombezana tulipofika kwenye kujua yeye kabila gani akasema Mzaramu ila ukimuangalia ni km Mchagga wa Marangu maana meno yameliwa na kutu, nikashtuka nilipouliza dini ndio nikashtuka zaidi akasema yeye ni Mkristu.

Hivi weewe pia ulikua km mimi ukiamini kwamba hakuna Wazaramu Wakristu yaan Wazaramu wote ni Waislamu?

1. Kuna kubadili dini.
2. Kuna kuwa kwenye ukoo ambao huko nyuma mmoja alibadili dini, na waliofuata baada ya hapo wote wanaendelea na dini mpya

Mfano mmoja ni Marehemu Monsinyori Mbiku (RIP) aliyekuwa Paroko wa UDSM. Huyu ndugu zake wa karibu wengi ni waislamu wa huko Kipatimo
 
Kwa hiyo wewe hata wapemba unadhani hakuna wakristo au hakuna wakristo mogadishu au unadhani hat pale macca na Madina hakuna wakristo?
Narudia mazingira niliyokulia mimi mpaka sasa hakuna Mzaramu Mkirstu hata mmoja na pale wamejenga Wazaramu wengi wote ni Waislamu wanasimamia Misikiti Maimaamu Mashekhe ebwana nilikua najua ni Wazaramu maana wengi ndio zilikua shughuli zao hizo mpaka leo maana wamerithisha kizazi na kizazi na kwa mazingira yale sikuwahi kuona Mzaramu Mkristu hata mmoja kwa hio ikanijengea uelewa hakuna Mzaramu Mkirstu wote ni Waislamu
 
1. Kuna kubadili dini.
2. Kuna kuwa kwenye ukoo ambao huko nyuma mmoja alibadili dini, na waliofuata baada ya hapo wote wanaendelea na dini mpya
Sikuwahi kufikiria hilo kabisa, kwa hio wapo walaohama uislaamu wakaingia ukristu ndipo Wazaramu wakaanza kua Wakristu maana imenishangaza nilipigwa bumbuwazi mpaka nikaulizwa nini unashangaa
 
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada kuu.

Mimi hapa nimezaliwa mjini Daslamu miaka mingi nyuma kabla ya mwaka 2000, kwa mazingira niliyokulia na watu wengi tulioishi nao ni Wazarumu. Lakini cha kushangaza sikuwahi kuona Mzaramu Mkirstu wengi tulioishi nao mpaka leo ni Waislamu, hii ikanipelekea kujua kwamba hakuna Mzaramu Mkristu.

Sasa cha kushangaza Jana katika pitapita zangu za huku na kule nikakumbana na Bidada mmoja hivi mrembo amenyooka nikamuelewa tukaanza maongezi ya hapa na pale kuchombezana tulipofika kwenye kujua yeye kabila gani akasema Mzaramu ila ukimuangalia ni km Mchagga wa Marangu maana meno yameliwa na kutu, nikashtuka nilipouliza dini ndio nikashtuka zaidi akasema yeye ni Mkristu.

Hivi weewe pia ulikua km mimi ukiamini kwamba hakuna Wazaramu Wakristu yaan Wazaramu wote ni Waislamu?

Kwarezima njema wakuu.
Msiache kufunga na kwenda kupakaa majivu.
Kama kuna waarabu kuristo sembuse wa zaramo?
 
Sikuwahi kufikiria hilo kabisa, kwa hio wapo walaohama uislaamu wakaingia ukristu ndipo Wazaramu wakaanza kua Wakristu maana imenishangaza nilipigwa bumbuwazi mpaka nikaulizwa nini unashangaa
Hili la kubadili dini, hadi leo linaendelea, hasa wanawake kwa sababu ya ndoa. Na nikuambie, kitendo cha kuwa wakristo wana ndoa ya mke mmoja (halali), wanawake wengi wa kiislamu huchukua hilo kama ulinzi kwao wa kutoletewa mke mwingine.
 
Maneromango Kisarawe Pwani kuna wakristo/wakristu weengi sana makanisa kila kona mpka unashangaa nipo uzaramuni kweli
Wakuja ndio wanajenga Makanisa wewe unahisi Kisarawe na Pwani wanaishi Wazaramu peke yao hawawapokei wageni na kuwauzia ardhi na kujeenga makanisa yao?
 
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada kuu.

Mimi hapa nimezaliwa mjini Daslamu miaka mingi nyuma kabla ya mwaka 2000, kwa mazingira niliyokulia na watu wengi tulioishi nao ni Wazarumu. Lakini cha kushangaza sikuwahi kuona Mzaramu Mkirstu wengi tulioishi nao mpaka leo ni Waislamu, hii ikanipelekea kujua kwamba hakuna Mzaramu Mkristu.

Sasa cha kushangaza Jana katika pitapita zangu za huku na kule nikakumbana na Bidada mmoja hivi mrembo amenyooka nikamuelewa tukaanza maongezi ya hapa na pale kuchombezana tulipofika kwenye kujua yeye kabila gani akasema Mzaramu ila ukimuangalia ni km Mchagga wa Marangu maana meno yameliwa na kutu, nikashtuka nilipouliza dini ndio nikashtuka zaidi akasema yeye ni Mkristu.

Hivi weewe pia ulikua km mimi ukiamini kwamba hakuna Wazaramu Wakristu yaan Wazaramu wote ni Waislamu?

Kwarezima njema wakuu.
Msiache kufunga na kwenda kupakaa majivu.
Wazaramu ndo wadudu gani?
 
Back
Top Bottom