Sikuwahi kujua kwa nini mashabiki wa Simba tunaitwa mbumbumbu ila kwa wanavyoshangilia usajili, naanza kuona shida ilipo

Sikuwahi kujua kwa nini mashabiki wa Simba tunaitwa mbumbumbu ila kwa wanavyoshangilia usajili, naanza kuona shida ilipo

Niseme ukweli kuwa nampongeza mwekezaji kuamua kusajili vijana wadogo ambao ni wazi wengi hupambabana kuonesha uwezo wao kwani wanahitaji kuendeleza vipaji na vipato vyao kupitia soka.

Pamoja na hayo kuna kitu kinanishangaza sana.Ni jinsi mashabiki wa Simba wanavyoshangilia usajili kabla hawajakiona kikosi kikicheza.

Isitoshe kuna mwalimu mpya ameletwa ambaye uwezo wake unatiliwa shaka iwapo kweli atamudu kuifikisha timu kwenye hatua za juu kuliko ilipo sasa.

Mashabiki wenzangu kwa nini tusiweke akiba ya maneno tukawaacha waliosajili maveteran watambe na sisi tukawaonesha uwanjani.

Tabia ya kutoa sifa lukuki zinawafanya wachezaji wanavimba vichwa na wanaamini wao wana uziada kiasi kwamba wakiingia uwanjani wanacheza kibishoo( kistaa) na kuharibu.Mfano mzuri ni Onana,Babacar Sarr n.k.

Mimi nitakuwa wa mwisho kushangilia usajili hadi nione matokeo ya timu uwanjani.
Na hawa wanaoshangilia usajili wa rejects za Simba na tuwaiteje? Wiki nzima hii wanapita mitaani na kuvaa vibwaya kushangilia usajili wa Chama na kuchafua mitaa kwa kubandika picha za Chama kila mahali hawa tuwaiteje? Naomba wachagulie jina linalofanana na hicho wanachokifanya.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Niseme ukweli kuwa nampongeza mwekezaji kuamua kusajili vijana wadogo ambao ni wazi wengi hupambabana kuonesha uwezo wao kwani wanahitaji kuendeleza vipaji na vipato vyao kupitia soka.

Pamoja na hayo kuna kitu kinanishangaza sana.Ni jinsi mashabiki wa Simba wanavyoshangilia usajili kabla hawajakiona kikosi kikicheza.

Isitoshe kuna mwalimu mpya ameletwa ambaye uwezo wake unatiliwa shaka iwapo kweli atamudu kuifikisha timu kwenye hatua za juu kuliko ilipo sasa.

Mashabiki wenzangu kwa nini tusiweke akiba ya maneno tukawaacha waliosajili maveteran watambe na sisi tukawaonesha uwanjani.

Tabia ya kutoa sifa lukuki zinawafanya wachezaji wanavimba vichwa na wanaamini wao wana uziada kiasi kwamba wakiingia uwanjani wanacheza kibishoo( kistaa) na kuharibu.Mfano mzuri ni Onana,Babacar Sarr n.k.

Mimi nitakuwa wa mwisho kushangilia usajili hadi nione matokeo ya timu uwanjani.
Umeongea vizuri, navyoona pia sajili za kimya kimya bila kelele zinawapunguzia presha wachezaji. Aziz Ki msimu wake wa kwanza alivimba kichwa, mbwembwe nyingi hali ikawa ngumu. Lakini ukiangalia Max, Pacome, Yao usajili wa kimya wamekaa vizuri.
 
Mfate tu chama uwe na amani.
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Umeepuka lawama dakika za asbuhiiii,
Hutaki kushikana mashat dkk za jioooon.
 
Ndio maana husikii vijana wakihoji Kodi ya majengo kukusanywa na Tanesco na SASA imefika 2000/= CCM inapambana kuwekeza kwenye Mpira ili kupooza kundi kubwa la vijana.πŸ˜”
Na wanafurahi sana haya mambo mtu anadamka asubuhi anaenda kijiweni kudiscuss mambo ya simba na yanga..
Ccm wao roho kwatu.
 
Hii akili Yako nakushauri chukua form uongoze team.
 
Mpira ni mchezo wa matukio na mara zote mashabiki hua wanafurahia au kuhuzunika na tukio linalo endelea kwa wakati husika, huo umbumbu ni wako wewe unae shindwa kuelewa kitu rahisi kama hicho
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Back
Top Bottom