Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mama na jersey yako ipo ya wananchi sema pm tu imefungwaMzoga mwenyewe πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama na jersey yako ipo ya wananchi sema pm tu imefungwaMzoga mwenyewe πππππ
Nimepiga kwenye mshono πMzoga mwenyewe πππππ
Na hawa wanaoshangilia usajili wa rejects za Simba na tuwaiteje? Wiki nzima hii wanapita mitaani na kuvaa vibwaya kushangilia usajili wa Chama na kuchafua mitaa kwa kubandika picha za Chama kila mahali hawa tuwaiteje? Naomba wachagulie jina linalofanana na hicho wanachokifanya.Niseme ukweli kuwa nampongeza mwekezaji kuamua kusajili vijana wadogo ambao ni wazi wengi hupambabana kuonesha uwezo wao kwani wanahitaji kuendeleza vipaji na vipato vyao kupitia soka.
Pamoja na hayo kuna kitu kinanishangaza sana.Ni jinsi mashabiki wa Simba wanavyoshangilia usajili kabla hawajakiona kikosi kikicheza.
Isitoshe kuna mwalimu mpya ameletwa ambaye uwezo wake unatiliwa shaka iwapo kweli atamudu kuifikisha timu kwenye hatua za juu kuliko ilipo sasa.
Mashabiki wenzangu kwa nini tusiweke akiba ya maneno tukawaacha waliosajili maveteran watambe na sisi tukawaonesha uwanjani.
Tabia ya kutoa sifa lukuki zinawafanya wachezaji wanavimba vichwa na wanaamini wao wana uziada kiasi kwamba wakiingia uwanjani wanacheza kibishoo( kistaa) na kuharibu.Mfano mzuri ni Onana,Babacar Sarr n.k.
Mimi nitakuwa wa mwisho kushangilia usajili hadi nione matokeo ya timu uwanjani.
Nyk New york mxyyyyy πΉπΉπΉNimepiga kwenye mshono π
Umeongea vizuri, navyoona pia sajili za kimya kimya bila kelele zinawapunguzia presha wachezaji. Aziz Ki msimu wake wa kwanza alivimba kichwa, mbwembwe nyingi hali ikawa ngumu. Lakini ukiangalia Max, Pacome, Yao usajili wa kimya wamekaa vizuri.Niseme ukweli kuwa nampongeza mwekezaji kuamua kusajili vijana wadogo ambao ni wazi wengi hupambabana kuonesha uwezo wao kwani wanahitaji kuendeleza vipaji na vipato vyao kupitia soka.
Pamoja na hayo kuna kitu kinanishangaza sana.Ni jinsi mashabiki wa Simba wanavyoshangilia usajili kabla hawajakiona kikosi kikicheza.
Isitoshe kuna mwalimu mpya ameletwa ambaye uwezo wake unatiliwa shaka iwapo kweli atamudu kuifikisha timu kwenye hatua za juu kuliko ilipo sasa.
Mashabiki wenzangu kwa nini tusiweke akiba ya maneno tukawaacha waliosajili maveteran watambe na sisi tukawaonesha uwanjani.
Tabia ya kutoa sifa lukuki zinawafanya wachezaji wanavimba vichwa na wanaamini wao wana uziada kiasi kwamba wakiingia uwanjani wanacheza kibishoo( kistaa) na kuharibu.Mfano mzuri ni Onana,Babacar Sarr n.k.
Mimi nitakuwa wa mwisho kushangilia usajili hadi nione matokeo ya timu uwanjani.
Unasema kweli, hivi na mimi niko kama usemavyoKifupi mashabiki wa timu zote mbili hamna akili
Ndio maana husikii vijana wakihoji Kodi ya majengo kukusanywa na Tanesco na SASA imefika 2000/= CCM inapambana kuwekeza kwenye Mpira ili kupooza kundi kubwa la vijana.πWatu wapo serious sana na hizi simba na yanga mkuuππ€£
Uko wapi niijie πMama na jersey yako ipo ya wananchi sema pm tu imefungwa
Pm imefungwa πUko wapi niijie π
Wajiandae kupigwa zauso as usual ππͺ
Na wanafurahi sana haya mambo mtu anadamka asubuhi anaenda kijiweni kudiscuss mambo ya simba na yanga..Ndio maana husikii vijana wakihoji Kodi ya majengo kukusanywa na Tanesco na SASA imefika 2000/= CCM inapambana kuwekeza kwenye Mpira ili kupooza kundi kubwa la vijana.π
Mizoga ya CCMMashabiki wa Simba na Yanga ni mizoga