Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana😀

Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana😀

  • Kissa - Huruma
  • Gwakisa - Mwenye huruma
  • Lugano - Upendo
  • Gwalugano - .....malizia
  • Tupeligwe - Tumepewa
  • Asajile - Amenisaidia/amenibariki
  • Andendekisye - Ametengeneza

Kwakifupi majina mengi ya kinyakyusa tukiyatazama katika kiswahil fasaha, sio majina (NOMINO) , mengi sana ni Vitendo (VITENZI), VIELEZI au VIVUMISHI.

Mfano hayo majina nimeyaweka hapo, ukitoa

  • Kisa
  • Lugano

Yaliobaki hapo ni Vitenzi na Vivumishi
nimegundua kwann hawa jama hawana sifa ya ucboyo majina yanaumba
 
Back
Top Bottom