Pole mkuu, yan hua unamlipa vzr ila umedelay miez miwili tu ndio afanye hvyo?
Uchawi wa BOSS ni HESABU na hiyo ndio tabia ya Landlords na ni kawaida sana.Hata hivyo kuna jambo ningependa kukwambia;

Kwana kabisa usiwe na shaka.Kwa mafanyabiashara hizo i changamoto ambazo zipo na huwazinakuja na zinaondoka.

Jambo la muhimu ni kuamini kile unafanya.Kubadili Mkakati na kuedelea kupambana.

Nakutakia kila la heri katika mapambano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…