Sikuwahi kutegemea haya, hatimaye leo yamenikuta
Mkuu umeuliza suala la msingi sana.

Hapa kiukwel ndio maana nikamwambia dogo atoke na vitu hivyo vya msingi maana ndio ofisi yenyewe , temporary niihamishie kwenye hifadhi ya muda

Hatar sanaa mkuu. Mtu mwingine anaweza asielewe
kwa sasa bora u work from home kwanza hata haiathiri kazi yako then badae huko mtafute fremu tu za kawaida muweke as ofisi kama vile wanasheria wengi au business consultancy wengi wanavyofanya
 
Inauma sana na majirani wq kibongo walivyo ndo wanapatia pa kuchekea ila watz kwa unafiki tu tuko vizuri, yawezekana kuna mtu anapahitaji km mdau alivyoshauri hapo juu
Hapa kwenye kuchekwa hapa mimi ndio pameniuma. Yan kunifungia ofisi hapa nimehisi kudhalilishwa sanaaaaa 😂😂😂
Ndio maana nikaona isiwe tabu, nisiliwaze sana hili
 
Communication is among key issues in the business industry.

I wonder how this IT guy managed to dogde the landlord and yet He come here crying for helps

anyway this is a lesson..
Tunajifunza kutokana na makosa
Ila yeye kaja kutushirikisha ndugu zake ili kutoa machungu moyoni mwake, hajamlaumu landlord
 
Pole sana kijana ila ndio hivyo na sisi ma landlords pia tunakuwa na commitments mbalimbali za kifedha.
Sasa unapokuwa na mpangaji anaposhindwa kukulipa kodi kwa mujibu wa mkataba inakuwa changamoto sana.
Kuna wengine tunajenga kwa mikopo ukitegemea kodi ya hilo jengo ilipe mkopo ukichelewesha kulipa benki unapigwa penalt ya riba (accrued Interest) .
Mimi mpangaji wangu akikwama naweza kumvumilia kwa mwezi mmoja tu zaidi ya hapo haitawezekana
 
Hapa kwenye kuchekwa hapa mimi ndio pameniuma. Yan kunifungia ofisi hapa nimehisi kudhalilishwa sanaaaaa 😂😂😂
Ndio maana nikaona isiwe tabu, nisiliwaze sana hili
Yaliwahi kunikuta tena si mara moja, fanya hivi yani hutakiwi kujali kabiiiiisa na fanya chap malizana na huyo landlord halafu piga kazi kwa hasira la msingi wahi kabla hujapoteza wateja

Wabongo nuksi tunajuana mbona hapo wanaona labda ndo watatajirika kumbe wapi wanabaki palepale
 
Communication is among key issues in the business industry.

I wonder how this IT guy managed to dogde the landlord and yet He come here crying for helps

anyway this is a lesson..
U sound too judgemental and u seem to overluk and misinterpreate some stufs.

  • i never dodged a landlord
  • Am not here for help
 
Wakuu habari ya muda huu.

Sisi wengine kama ilivyo kwa wengi, hapa ndipo pa ku-share issues tunapohisi ku-release baadhi ya mambo yakituzidia.

Mchana wangu umeharibika ghafla sana.😅 Kulingana na tides za kibiashara safari hii (ofcourse ni mambo ya kawaida tu), landlord wangu hatimae leo kamvamia binti yangu ofisini na kumsihi amkabidhi funguo ya ofisi.
Na imekuwa kama coincidence maana this whole week sijatokea kabisa ofisini kwa kukimbizana na issue nje ya ofisi.

Yaani licha ya kulipa kodi kwa uaminifu siku zooote quarter hii biashara imeyumba nika delay 2 months.

Nimepigiwa simu na binti yangu na kiukweli nikaona isiwe ishu, nimempa maelekezo machache tu ili kusudi shughuli zisikwame. Kichwa kisha jam hiki. Let me clear my mind first, nitayawaza badae.
😅😅.
View attachment 3003640
Kodi ya mtu miezi 2, ulimpa taarifa kAbla?
 
Back
Top Bottom