Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya kwa uharaka japo hili linahitaji nguvu zaidiKwakwel simlaumu.
Majengo ya watu binafsi mjini hapa ni shida 😂.
Niko napambana kupata space kwenye majengo ya serikali huko kuna unafuu kidogo na proffesionalism
Upepo wa biashara sio mzuri kila sehemu mkuu wengine tushauzaga kila kitu kama mwanzo biashara ilikua nzuri fanya juu chini umpatie kodi yake maisha yaendelee ili usipoteze wateja.Mmmhhh sijajua.. ni jengo linamilikiwa na kampuni binfasi but mfanya kazi aliyenikomalia ni Man
Ni kwel, japo juz kati moja ya wateja wangu kanilengesha pale kwenye jengo lao, mitaa ya Lumumba.Fanya kwa uharaka japo hili linahitaji nguvu zaidi
Huwa nalumbana kwenye mambo ya kutaniana, sio kwenye mambo ya msingi.Wewe tena unavyoweza kurumbana😂
Changamoto ni sehemu ya biashara na Ndiyo wakati ambao binadamu huamsha ubongo anakuwa na uwezo wa kutumia jicho la tatu utalitatua tu Tena mwenyewe,(Adapbility skills), mimi ni mjasiriamali na muelimishaji kuhusu ujasiriamali nina ubunifu wangu kwanini biashara zinakufa na suluhu pendenkezwaHapana napokea na hata majuzi, tulikaa chini kuwekana sawa kuhusu hili but kuna jambo sikulitimizia. Alitaka niji commit kwa barua , sasa mambo kama haya nikaona sio.
Kupoteza wateja kwasababu hii haitatokea kulingana na nature ya biashara nayofanya. Maana haihusishbwateja kuja ofisin, but ofisi ni just an operational base yetu katika kuwa serve wateja.. sio kwamba tunauza vitu noo.. we provide serrvice so tunafanya outreach to customers sio wao kuja kwetuUpepo wa biashara sio mzuri kila sehemu mkuu wengine tushauzaga kila kitu kama mwanzo biashara ilikua nzuri fanya juu chini umpatie kodi yake maisha yaendelee ili usipoteze wateja.
Umefanya uamuzi sahihiHapa kiukwel ndio maana nikamwambia dogo atoke na vitu hivyo vya msingi maana ndio ofisi yenyewe , temporary niihamishie kwenye hifadhi ya muda
Hongera!Wakuu habari ya muda huu.
Sisi wengine kama ilivyo kwa wengi, hapa ndipo pa ku-share issues tunapohisi ku-release baadhi ya mambo yakituzidia.
Mchana wangu umeharibika ghafla sana.😅 Kulingana na tides za kibiashara safari hii (ofcourse ni mambo ya kawaida tu), landlord wangu hatimae leo kamvamia binti yangu ofisini na kumsihi amkabidhi funguo ya ofisi.
Na imekuwa kama coincidence maana this whole week sijatokea kabisa ofisini kwa kukimbizana na issue nje ya ofisi.
Yaani licha ya kulipa kodi kwa uaminifu siku zooote quarter hii biashara imeyumba nika delay 2 months.
Nimepigiwa simu na binti yangu na kiukweli nikaona isiwe ishu, nimempa maelekezo machache tu ili kusudi shughuli zisikwame. Kichwa kisha jam hiki. Let me clear my mind first, nitayawaza badae.
😅😅.
View attachment 3003640
Kwa asiye kwenye game la biz hawezi kuelewaHatar sanaa mkuu. Mtu mwingine anaweza asielewe
miezi miwili ulitaka mwenzio akalae wapi?Wakuu habari ya muda huu.
Sisi wengine kama ilivyo kwa wengi, hapa ndipo pa ku-share issues tunapohisi ku-release baadhi ya mambo yakituzidia.
Mchana wangu umeharibika ghafla sana.😅 Kulingana na tides za kibiashara safari hii (ofcourse ni mambo ya kawaida tu), landlord wangu hatimae leo kamvamia binti yangu ofisini na kumsihi amkabidhi funguo ya ofisi.
Na imekuwa kama coincidence maana this whole week sijatokea kabisa ofisini kwa kukimbizana na issue nje ya ofisi.
Yaani licha ya kulipa kodi kwa uaminifu siku zooote quarter hii biashara imeyumba nika delay 2 months.
Nimepigiwa simu na binti yangu na kiukweli nikaona isiwe ishu, nimempa maelekezo machache tu ili kusudi shughuli zisikwame. Kichwa kisha jam hiki. Let me clear my mind first, nitayawaza badae.
😅😅.
View attachment 3003640
Mkuu fikiria kidogo basi.miezi miwili ulitaka mwenzio akalae wapi?
Kwani Sheria inasemaje?miezi miwili ulitaka mwenzio akalae wapi?
Zungumza nae mkuu, hakuna kinachoshindikana.Yah, na ndio maana nikasema sitaki kuumiza kichwa maana kimkataba japo nimekiuka kwa kuchelewa lakn bado utaratibu ni huwa nalipa kodi ya miez mi3 mi3 sasa i was hopping for june labda haya mambo ndio yamgeweza fikia huku, but kawahi sana
you need to grow up.Mjinga mmoja tu huyu Excel , i cant argue with stupid fools
Don't be offended bro, bora anaye kuambia ukweli mchungu kuliko hao wanao polish mambo.5Mjinga mmoja tu huyu Excel , i cant argue with stupid fools
No bro hata kama ni kampuni lazima term na conditions mlizo jiwekea mzizingatie kama mlikubaliana una lipa mwanzoni ilitakiwa utoe taarifa mapema na kama alikuambia uahidi kwa maandishi ilipasa ufanye hivyo. Japo Pole sana ndio kujifunza hukoMkuu fikiria kidogo basi.
Katika modes tofaut za biashara, unapofanya biashara kama kampuni unapswa kuwa smart kidogo na sababu kama hiz kuwa "akale wapi huwa hazima mashiko". Nimepanga ofisi kwenye jengo la kampuni, hivyo hii personal mindset haipaswi ku apply sana.
Ninapo serve wateja wangu binafs katika biashara nafanya, ninaweza kuingia hata madeni just kuhakikisha wao they are not disturbed, why? Bcz end of the time they will pay, the debt and rhe interest.
Usifanye biashara a kampuni huku una mindset kama mpangisha nyumba wa uswahilini.
This is B2B man
Ninachokiona ni swala la mawasiliano ndio tatizo.Wakuu habari ya muda huu.