Sikuwahi kutegemea haya, hatimaye leo yamenikuta
Mkuu pole sana kwa hiyo changamoto. Wengine ambao hawajawahi kukutana na kadhia ya kufunga ofisi wanaweza wasikuelewe, ni maumivu makubwa sana.

Ulifanyia kazi ushauri wangu wa kuweka lile wazo lako hapa? Unaona kama leo umeweza kushare hili hapa kwanini lile ambalo ni la ufumbuzi endapo watu wangekuunga mkono usiliweke hapa pia?
Shukran mkuu, ni kwel nitafanya hivyo. Mambo yalikua mengi kidogo nikakosa utulivu
 
Kwenye utafutaji haya matukio ni kawaida kukutana nayo, tena mengine magumu zaidi ya hilo.

Kikubwa piga moyo konde kesho nayo ni siku, sali mshukru Muumba wako kisha move on.

Usijilaumu wala kuilamu nafsi yako, mapito yako kwa ajili ya watu na watu ndo mimi na wewe.

Endelea kupambana kiongozi, usife moyo kesho yako ni njema
Ni kwel kamanda, hizi harakati japo ni seheme katika maisha ya utafutaji,usipokuwa stable kifikra unaweza ukakonda
 
Changamoto lazima ziwepo mkuu, inasikitisha sana pale landlord anapokosa utu kiasi hicho
Yah, na ndio maana nikasema sitaki kuumiza kichwa maana kimkataba japo nimekiuka kwa kuchelewa lakn bado utaratibu ni huwa nalipa kodi ya miez mi3 mi3 sasa i was hopping for june labda haya mambo ndio yamgeweza fikia huku, but kawahi sana
 
Pole sana Comrade. Maana hii miezi michache iliyopita upepo kwenye biashara nyingi haukuwa poa hata kidogo.
Ahsante chief. Ni kwel upepo wa hii miezi haujua poa kabisa. Kumbe ni wengi wameliona hilo?
Ila two months nayo kwa Landlord ni mingi aisee!! Maana wengi wao huwa wanategemea hivyo vibanda ili kuendeshea maisha yao.
ahahaha ni kwel, tatizo ki utaratibu, muwa nalipa kwa kila miez mi3. Sasa angengoja bas ifke june maana ndio hapo atleast angeweza hisi labda ni ukorofi. But bad nina mwezi m1 kimkataba ili kusema nimekiukwa utaratibu mazima
 
Wakuu habari ya muda huu.

Sisi wengine kama ilivyo kwa wengi, hapa ndipo pa ku-share issues tunapohisi ku-release baadhi ya mambo yakituzidia.

Mchana wangu umeharibika ghafla sana.😅 Kulingana na tides za kibiashara safari hii (ofcourse ni mambo ya kawaida tu), landlord wangu hatimae leo kamvamia binti yangu ofisini na kumsihi amkabidhi funguo ya ofisi.
Na imekuwa kama coincidence maana this whole week sijatokea kabisa ofisini kwa kukimbizana na issue nje ya ofisi.

Yaani licha ya kulipa kodi kwa uaminifu siku zooote quarter hii biashara imeyumba nika delay 2 months.

Nimepigiwa simu na binti yangu na kiukweli nikaona isiwe ishu, nimempa maelekezo machache tu ili kusudi shughuli zisikwame. Kichwa kisha jam hiki. Let me clear my mind first, nitayawaza badae.
😅😅.
View attachment 3003640
Worry out mkuu..... nyakati ngumu zipo ila hutuimarisha zaidi, usikate tamaa yote yatapita tu.
 
Pole Sana Mkuu likuepukalo Lina heri
 
Pole sana mwanetu

Lakini wewe unaonaje mwenendo wa biashara yako na kodi unayolipia hapo?

Ukomae uumlipe au uumlipe halafu uhame ukafungue kwenye nafuu ya kodi au ufunge mazima biashara?

Ila kiukweli kwa ujumla hali ya biashara Tz imekuwa ngumu sana kwa sasa, mzunguko wa biashara umekuwa wa kusuasua kwa wengi
 
Bora kujiajiri kuliko kuajiriwa...hii kauli huwa nawachora...anyway pole mkuu...kwel hii miez mitatu biashara zilikuwa kichaaa...kama issue ni kod siyo mbaya...mi nilizan ukarabati wa jengo au jengo limeuzwa kwa mtu mwingine afu hyo mtu anageuza matumiz ya jengo kabisaa...hapo hata bapa mbili za konyagi...siwez lewa
 
Swali fikirishi je Huwa hupokei simu za mwenye numba? (Landlord),km Ndiyo Hilo ni kosa maswali mengine baadae
Hapana napokea na hata majuzi, tulikaa chini kuwekana sawa kuhusu hili but kuna jambo sikulitimizia. Alitaka niji commit kwa barua , sasa mambo kama haya nikaona sio.
 
Back
Top Bottom