Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Uchawi wa BOSS ni HESABU na hiyo ndio tabia ya Landlords na ni kawaida sana.Hata hivyo kuna jambo ningependa kukwambia;Pole mkuu, yan hua unamlipa vzr ila umedelay miez miwili tu ndio afanye hvyo?
Kwana kabisa usiwe na shaka.Kwa mafanyabiashara hizo i changamoto ambazo zipo na huwazinakuja na zinaondoka.
Jambo la muhimu ni kuamini kile unafanya.Kubadili Mkakati na kuedelea kupambana.
Nakutakia kila la heri katika mapambano