Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Mkuu nisaidieni, hivi hizo DDDD huwa zinamaanisha nini? Tukirudi kwenye mada hata mimi sijawahi kuona mtu akiingia jf, mfano kwenye daladala utaona watu wakiwa fb, insta, whatsapp lakini sio jf, lakini ukija unakuta comments kibao😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Huu uzi wako umenichekesha sana... Duuh, huu ni kiboko. Utakuwa sio uzi bali waya kabisa...
JF ni ya ma great thinkers... Tatizo lako wewe unaji associate na veeelazer ndio maana huwaoni wakitupia post humu...
Mimi nakuaga kitandani mkuuHuwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.
Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.
Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.
Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.
Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..
Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??
Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa
Aggghhh!!!
Kweli insta ni ya maji shootSocial medias zina level..facebook inawatu wa level flan (watoto) istagram imejaa mabishoo..JF inagreat thinkers..kwahyo we bado unakua kimawazo..ukifika level flani itabidi uachane na FB na Insta..uwe Expert member wa JF
Umesahau twitter mkuuSocial medias zina level..facebook inawatu wa level flan (watoto) istagram imejaa mabishoo..JF inagreat thinkers..kwahyo we bado unakua kimawazo..ukifika level flani itabidi uachane na FB na Insta..uwe Expert member wa JF
Twitter pia ina great thinkers hilo linafahamika...kuna mitandao mingine ukiona mtu yuko busy nayo sana...unaweza kujua ni mtu wa aina gani...mfano, badoo..instagram...facebookUmesahau twitter mkuu
Mkuu kama mimi, Kuna simu fulani ya boss wangu ilikuwa inasumbua na memory ndogo, Sasa akawa anataka kuweka application ya whatsapp ikabidi nipunguze baadhi ya vitu, na kitu cha kwanza kukiondoa ilikuwa ni app ya JF, kwakweli alikasirika sana mimi nikawa nashangaa anasema bora ungeondoa vyote lakini sio jf, basi baadae ikabidi na mimi niingie huko jf niangalie kunani, toka kipindi hicho mwaka jana mwishoni mpaka leo nimekuwa addicted mkubwa na siku hizi sijui mambo ya FacebookHahahah aisee we jamaa umeongea mawazo yang kabisa. Binafsi JF nilianza kuipenda bila kushawishiwa na mtu ni kama zali tu nikajikuta addict wa JF lakini chakushangaza ndugu, jamaa na marafiki zangu wote nikiwauliza kama wanapitaga humu hakuna ata mmoja mwenye mpango nayo. Alaf pia JF inavichwa kinoma natamani nikutane uso kwa macho na member kadhaa ila nahisi watakuwa feki
Kweli kabisaTwitter pia ina great thinkers hilo linafahamika...kuna mitandao mingine ukiona mtu yuko busy nayo sana...unaweza kujua ni mtu wa aina gani...mfano, badoo..instagram...facebook
Sasa hii dharau. Inamaana hapo mtaani kwenu tu ndio Tanzania au una satellite inayokuonesha watz woote wanachofanya? Maswali mengine upuuzi mtupu. May be nikuulize, wale wanaopost video/picha za utupu fb hua wanakuita uende ukaone wanavyopost???????????? JF A FORUM OF THE GREAT THINKERS not v-laza. Upo hapoMkuu kuna wakati unakaa kama dakika 5 ukirudi unakuta uzi mpya na reply kama 200, unajiuliza hawa watu wapo hapahapa tz?? Mbona hatuwaoniiiiii
Jf nizaidi ya shule maana kunawatu vichwa vinachaji
kinachonishangaza zaidi unakuta uzi umeanzishwa saa 9 usiku lakini baada ya nusu saa unakuta koment zaidi ya 50 views 800, hivi hamlaliii?? au nyie ni walinziiii [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379] ??Huwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.
Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.
Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.
Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.
Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..
Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??
Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa
Aggghhh!!!
ikiwa we ibilisi upo kila mahali na hutuon,kutakuwa na tatizo mahaliHuwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.
Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.
Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.
Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.
Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..
Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??
Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa
Aggghhh!!!
Huwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.

Aggghhh!!![/Q
Sijakuelewa, ulitaka kuwaona vp?Huwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.
Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.
Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.
Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.
Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..
Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??
Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa
Aggghhh!!!
mimi nipo dar mkuuWewe nitajie mkoa wako tu, siku nitaibuka na hautoamini
Hahaha dah! Mkuu kwani watu wako wa karibu ama waliokuzunguka huwa wanakuona wakati unachat JF? Sasa usishangae kwanini hutuoni