Sikuwahi Muona mtu akiingia JF, JF kuna nani??

We mleta mada huwafaham members wa jf au umejanganya? Huwafahamu kina Nape, G.Lema? Mwigulu naye si member wa JF? ni kweli huwafahamu hao watu? na Le Mutuz nae humjui? ebu kuwa serious kidogo!
 
Mie ninawafahamu watu kama kumi hivi coz niliwafungulia account mimi mwenywe baada ya kuwapiga injili na kuitikia wito nikawabatiza.
 
Wapo huku unaowatafuta!

Visitor by country!!

Tanzania 89.7%

Kenya 2.7%

United Kingdom 1.0%

Nigeria 0.6%

France 0.6%
 
JF ina wanachama/wachangiaji wangapi kati ya Watanzania 45m?
 
He,heh..
Umenichekesha..inamana hata mm hujawahi kuniona?
 
Watu wengi hawaijui jf,soon wakiifahamu huzama kabisa
 
Yaani huku ni maninja tu wote ni full mask.... Ila huku hakuna unafk kama fb coz huku ni mwendo wa hoja na watu wenye fikra pevu so ni chanzo cha elimu kwa wenye kutaka elimu.. Binafsi mm sijaingi huku kwa kumuona mtu bali mara nyingi ilikuwa niki google kwa lugha ya kiswahili ilikuw jf ilikuwa ina majib chanya
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hahaha... I can't hide my ID hata unibambe na comment kitu cha ajabu....
 
daa,kweli kabisa mkuu mi nlkuwa natatizika na hiyo kitu,, kuna siku niliposti mada flani hivi jukwaa la sayansi kule na siku log off nlikuwa nasubiri nijibiwe a see, nilikuta like 3, reply kama 4 but zilikotoka sijuiiii

wakuu tumuogopeni MUNGU.....!
 
Pole sana, wewe umezoea facebook, insta n. k
Hapa ni ngumu na kuna member wengi sana. Baadhi wanafahamiana ana kwa ana na wengine ndiyo hivyo. Ila usijali utawaona tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…