Sikwenda chuo lakini nimewekewa boom

Sikwenda chuo lakini nimewekewa boom

Joined
Jul 8, 2013
Posts
96
Reaction score
63
habari wanajf.

mimi nilichaguliwa kusoma bachelor of science in midwifery pale MUHAS kwa mwaka wa masomo 2013/2014.nilienda chuo na nilifanya registration lakini kutokata na sababu zilizokuwa nje na uwezo wangu sikuweza kuendelea na masomo.(nilkaa week 3 tu).

niliomba kusitisha masomo na niliandka barua kwenye uongoz wa chuo na kuruhusiwa, pia niliandka barua HESLB kutoa taarifa.

tangi kipindi kile sikuwahi kuangalia akaunti yangu ya benki maana huku kwetu hakuna benki..sasa week jana nilienda mjini nkaangalia akaunti yangu nkakuta kuna pesa nyingi..nilipoomba bank statement ikaonyesha kuna pesa imeingia kutoka heslb mara tatu!...sasa sielewi nifanye nn kwa sababu nimeomba chuo kingne (tcu)...kuhusu mkopo sielew!..naomben msaada wenu!

asanteni
 
huyu ni msomi wa chuo kikuu anakuja kuuliza what to do with money? pesa ambazo ni yeye mwenyewe aliomba! only in Tanzania.
 
Kuna mambo mawili.La kwanza ni la kisheria. Toa taarifa Bodi ya Mikopo na Chuoni kwako kama mwanzoni na usikie watakavyosema.La pili ni la kijamii. Tumia hizo pesa kiuchumi (kibiashara) na uweze kujisomesha wewe mwenyewe huku ukijiandaa kukatwa mkopo wako. Chagua moja!

Muhimu: Tambua ya kwamba,'boom' huendana na ulipwaji wa ada katika Chuo ulichodahiliwa.Hivyobasi, deni lako litajumuisha na ada inayolipwa chuoni. Pia, kwakuwa tayari unalipiwa,hauwezi kulipiwa tena katika chuo kipya ambacho unaweza kupangiwa tena na TCU.
 
Fanya hivi usiombe chuo kingine ila omba uhamisho toka chuo cha awali kwenda kingine na taarifa zako ziende Tcu na Heslb.
 
habari wanajf.mimi nilichaguliwa kusoma bachelor of science in midwifery pale MUHAS kwa mwaka wa masomo 2013/2014.nilienda chuo na nilifanya registration lakini kutokata na sababu zilizokuwa nje na uwezo wangu sikuweza kuendelea na masomo.(nilkaa week 3 tu)..niliomba kusitisha masomo na niliandka barua kwenye uongoz wa chuo na kuruhusiwa.pia niliandka barua HESLB kutoa taarifa.tangi kipindi kile sikuwahi kuangalia akaunti yangu ya benki maana huku kwetu hakuna benki..sasa week jana nilienda mjini nkaangalia akaunti yangu nkakuta kuna pesa nyingi..nilipoomba bank statement ikaonyesha kuna pesa imeingia kutoka heslb mara tatu!...sasa sielewi nifanye nn kwa sababu nimeomba chuo kingne (tcu)...kuhusu mkopo sielew!..naomben msaada wenu!..asanteni

usiile kabisa kijana...watakutaka ulipe 25% ya hiyo pesa ili upewe mkopo tena!
 
huyu ni msomi wa chuo kikuu anakuja kuuliza what to do with money? pesa ambazo ni yeye mwenyewe aliomba! only in Tanzania.

samahani mimi sijauliza jinsi ya kutumia pesa..and sio kwamba sijui kutumia pesa...but nataka tu kujua utaratbu ulivyo and wat to ili next tme nkpata chuo niendelee kuwa sponsored!.,samahan kama nilikukwaza!...
 
Fanya hivi usiombe chuo kingine ila omba uhamisho toka chuo cha awali kwenda kingine na taarifa zako ziende Tcu na Heslb.
asante kwa ushauri wako.naomba unipe maelekezo jinsi ya kuhama chuo !...lakn pia ningependa kujua kama hilo linawezekana endapo mm nilidahiliwa 2013/2014 niombe uhamisho wa 2014/2015..asante
 
nimexaituma kaka...naogopa sana polisi...baada ya hapo nifanyenn boss!

hawa viumbe kama unawaogopa nchi hii wewe utakuwa msindikizaji tu, wenzio tena kwa nyongeza hatukosi marafiki mawakili walau watatu girlfriend hakimu na godfather angalau jaji mmoja. phonebook yangu jina la kwanza la igp mangu.
 
wewe unatamba phonebook yako jina la kwanza ni la igp Mangu wakati wenzio Mangu tumekaa nae sana mjini national chanya pale kunywa gambe, we andaa 25% ya hyo pesa utarudisha bodi fatilia hapo muhas kama na ada yako ilipelekwa kuhama chuo mpaka uende chuo unachotaka kuhamia wa kuhakikishie nafasi kama ipo na mtu wa kuongea nae n regstar tu,, achana na hawa vijana wanaotamba kama wao ni polisi,,
 
hawa viumbe kama unawaogopa nchi hii wewe utakuwa msindikizaji tu, wenzio tena kwa nyongeza hatukosi marafiki mawakili walau watatu girlfriend hakimu na godfather angalau jaji mmoja. phonebook yangu jina la kwanza la igp mangu.

Lol kumbe !ngoja basi namimi nibadili fasta maana bado nlikuwa nimemsave said mwema.
 
hiyo hela ya kujikimu inaendana na ada,kama utarudi muhas utajigaramia hela ya accomodation na unaweza usidaiwe ada.
 
habari wanajf.mimi nilichaguliwa kusoma bachelor of science in midwifery pale MUHAS kwa mwaka wa masomo 2013/2014.nilienda chuo na nilifanya registration lakini kutokata na sababu zilizokuwa nje na uwezo wangu sikuweza kuendelea na masomo.(nilkaa week 3 tu)..niliomba kusitisha masomo na niliandka barua kwenye
uongoz wa chuo na kuruhusiwa.pia niliandka barua HESLB kutoa taarifa.tangi kipindi kile sikuwahi kuangalia akaunti yangu ya benki maana huku kwetu hakuna benki..sasa week jana nilienda mjini nkaangalia akaunti yangu nkakuta kuna pesa nyingi..nilipoomba bank statement ikaonyesha kuna pesa imeingia kutoka heslb mara tatu!...sasa sielewi
nifanye nn kwa sababu nimeomba chuo kingne (tcu)...kuhusu mkopo sielew!..naomben msaada wenu!..asanteni
Mkuu pole pia hongera mimi napata shida kujua namna fedha hizo zilivyoingia coz uwezi kupata hela bila kusaini sasa hapo sijui imekuwaje ila ninachokushauri tu fuatilia tu uhamisho wako na usiwaambie km pesa zinaingia lwenye account yk..pia pesa ulizopata unaweza fanya km mtaji wa kufanya biashara tafakri na uzifanyie uamuzi mzur hizo pesa..!
 
Back
Top Bottom