XAMUEL DON KATAR
Member
- Jul 8, 2013
- 96
- 63
habari wanajf.
mimi nilichaguliwa kusoma bachelor of science in midwifery pale MUHAS kwa mwaka wa masomo 2013/2014.nilienda chuo na nilifanya registration lakini kutokata na sababu zilizokuwa nje na uwezo wangu sikuweza kuendelea na masomo.(nilkaa week 3 tu).
niliomba kusitisha masomo na niliandka barua kwenye uongoz wa chuo na kuruhusiwa, pia niliandka barua HESLB kutoa taarifa.
tangi kipindi kile sikuwahi kuangalia akaunti yangu ya benki maana huku kwetu hakuna benki..sasa week jana nilienda mjini nkaangalia akaunti yangu nkakuta kuna pesa nyingi..nilipoomba bank statement ikaonyesha kuna pesa imeingia kutoka heslb mara tatu!...sasa sielewi nifanye nn kwa sababu nimeomba chuo kingne (tcu)...kuhusu mkopo sielew!..naomben msaada wenu!
asanteni