Silaha aina gani zinaruhusiwa kumilikiwa na mtu binafsi Tanzania?

Silaha aina gani zinaruhusiwa kumilikiwa na mtu binafsi Tanzania?

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Hivi ni aina gani za silaha anaruhusiwa kumiliki kisheria mtu binafsi?

Au yoyote unayohitaji?

FB_IMG_1618218981922.jpg
 
Hizo pichani ni za kivita huruhusiwi kumiliki, sheria inaruhusu kumiliki bastola na gobole tu kwa mtu binafsi.
 
Kisu, panga, rungu, gobole, upinde+mishare, short gun.
 
Back
Top Bottom