Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Panga, Rungu, Mishale, shoka, Jambia....etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa Amiri Jeshi Mkuu, hata angeamua kuchukua mambomu yote ya mbagala na kutembea nayo hakuna shida!Mbona ile ya jiwe ilikuwa na 7 hawakumshitaki
Sio kweli hakuna limit ya risasi kwenye bastolaSiraha yoyote kuanzia rungu, na aina zote za bastola isiyozidi risasi sita!
Sasa kibali utapataje vinginevyo utakuwa unataka kufanya uhalifu.Unaruhusiwa kuwa nayo ila wenyewe wasijue
Tumia akili!, nimesemea full load magazine capacity per one ambushSio kweli hakuna limit ya risasi kwenye bastola
Per year unapewa risasi 25
Ya kupigia kwata hiyoMbona mimi nina G3 yangu nimeiweka pale chini ya mto
Tukijua tutamlazimisha atuoneshe marehemu wetu aliyempora hiyo silahaUnaruhusiwa kuwa nayo ila wenyewe wasijue
Per ambush wapi wewe ???Tumia akili!, nimesemea full load magazine capacity per one ambush
Hata Manati Hana analeta ujuaji Eti per ambushPer ambush wapi wewe ???
Hujui unacho ongea
Nina Glock 19 gen 4 Ina magazine yenye risasi 15 ready for action na magazine nyingine extra ina risasi 10 ipo pembeni
Usipotoshe watu