Gentleman,Sikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea muziki na kisha baadaye kuanza kuongea.
Wale watu nilikuja kuwakumbuka baadaye kidogo nilipokuwa . Ni viongozi wa CCM wilaya kwa ngazi tofauti.
Mama mmoja ambaye yuko hai mpaka sasa mweupe alipopewa mike kuongea alijifanya kuongea kwa uchungu sana kuwa watu wasipochagua CCM ikitokea vita watakaoteseka zaidi ni akina mama, watoto na wazee.
Hii silaha nimeona ikitumika kwenye kila kampeni.
Na upinzani umeshindwa kujibu ingawa majibu yake yalipaswa kuwa mepesi kabisa.
CCM ifike wakati muwahurumie wananchi.
I dont think kizazi hiko ndio cha sasa, jamii imebadilika sana. Wana mbonu nyingi but hiyo haitawork kama zamaniSikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea muziki na kisha baadaye kuanza kuongea.
Wale watu nilikuja kuwakumbuka baadaye kidogo nilipokuwa . Ni viongozi wa CCM wilaya kwa ngazi tofauti.
Mama mmoja ambaye yuko hai mpaka sasa mweupe alipopewa mike kuongea alijifanya kuongea kwa uchungu sana kuwa watu wasipochagua CCM ikitokea vita watakaoteseka zaidi ni akina mama, watoto na wazee.
Hii silaha nimeona ikitumika kwenye kila kampeni.
Na upinzani umeshindwa kujibu ingawa majibu yake yalipaswa kuwa mepesi kabisa.
CCM ifike wakati muwahurumie wananchi.
Pascal Mayalla, chawa wa mamaKwa upande wa urais, uchaguzi uliishamalizika pale Dodoma ile January, kinachoendelea ni kutimiza tuu taratibu, kusubiria tarehe ifike,
Unakwenda kituoni
unachukua...
unaweka...
....
Malizia mwenyewe!
P
Ni utapeli tu, silaha ya CCM ni polisi na tume fake ya uchaguziKuna mzee mmoja ambaye ni mzee sana na anaishi kijijini na mwenye elimu ndogo alisema kuwa hiyo silaha wanaifahamu na maana yake wao ndio wataleta vurugu kwani iweje wapinzani wakishindwa hawaleti vurugu eti wakishinda ndio walete vurugu. Na vurugu itaanzia pale watakaposhughulikiwa kwa mujibu wa sheria!
Sure, kama hiyo ni silaha kwanini hawataki tume huru ya uchaguzi?Huo ujingaa wamdanganye nani labda kile kizazi cha kina wasira.kuna utandawazi saivi.
Usipoenda ndiyo mbaya zaidi, bora tupige kura wajue wazi kuwa hatuwatakiCcm wameimba mfumo mzima wa uchaguzi...huwa nashangaa sana hata wananchi wanaenda kupiga kura kiufupi ni kujidanganya na kupoteza muda.
Sikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea muziki na kisha baadaye kuanza kuongea.
Wale watu nilikuja kuwakumbuka baadaye kidogo nilipokuwa . Ni viongozi wa CCM wilaya kwa ngazi tofauti.
Mama mmoja ambaye yuko hai mpaka sasa mweupe alipopewa mike kuongea alijifanya kuongea kwa uchungu sana kuwa watu wasipochagua CCM ikitokea vita watakaoteseka zaidi ni akina mama, watoto na wazee.
Hii silaha nimeona ikitumika kwenye kila kampeni.
Na upinzani umeshindwa kujibu ingawa majibu yake yalipaswa kuwa mepesi kabisa.
CCM ifike wakati muwahurumie wananchi.
Sikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea muziki na kisha baadaye kuanza kuongea.
Wale watu nilikuja kuwakumbuka baadaye kidogo nilipokuwa . Ni viongozi wa CCM wilaya kwa ngazi tofauti.
Mama mmoja ambaye yuko hai mpaka sasa mweupe alipopewa mike kuongea alijifanya kuongea kwa uchungu sana kuwa watu wasipochagua CCM ikitokea vita watakaoteseka zaidi ni akina mama, watoto na wazee.
Hii silaha nimeona ikitumika kwenye kila kampeni.
Na upinzani umeshindwa kujibu ingawa majibu yake yalipaswa kuwa mepesi kabisa.
CCM ifike wakati muwahurumie wananchi.
Usipoenda ndiyo mbaya zaidi, bora tupige kura wajue wazi kuwa hatuwataki
Mwaka 2015 nikiwa UVCCM Arusha tulizidiwa na Lowasa kwa zaidi ya kura 220,000 tulishindwa namna ya kuiba kura za wananchi hata kdg, sometimes mkipiga kura nyingi inawapa ugumu kuiba sn, mbinu nzuri ni kupiga kura kwa wingi haswa.Kususa ni mbinu ya kijinga sawa sijawahi ona ikileta manufaa
No Reform no ElectionKwa upande wa urais, uchaguzi uliishamalizika pale Dodoma ile January, kinachoendelea ni kutimiza tuu taratibu, kusubiria tarehe ifike,
Unakwenda kituoni
unachukua...
unaweka...
....
Malizia mwenyewe!
P
Mbona unafichua siri ya ushindi bro?Sikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea muziki na kisha baadaye kuanza kuongea.
Wale watu nilikuja kuwakumbuka baadaye kidogo nilipokuwa . Ni viongozi wa CCM wilaya kwa ngazi tofauti.
Mama mmoja ambaye yuko hai mpaka sasa mweupe alipopewa mike kuongea alijifanya kuongea kwa uchungu sana kuwa watu wasipochagua CCM ikitokea vita watakaoteseka zaidi ni akina mama, watoto na wazee.
Hii silaha nimeona ikitumika kwenye kila kampeni.
Na upinzani umeshindwa kujibu ingawa majibu yake yalipaswa kuwa mepesi kabisa.
CCM ifike wakati muwahurumie wananchi.
Mwenyezi Mungu anaweza kuingilia mchakato wakati wowote... WE CARRY LIFE & DEATH.Kwa upande wa urais, uchaguzi uliishamalizika pale Dodoma ile January, kinachoendelea ni kutimiza tuu taratibu, kusubiria tarehe ifike,
Unakwenda kituoni
unachukua...
unaweka...
....
Malizia mwenyewe!
P
Tangu lini ccm wakawa na huruma?Sikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea muziki na kisha baadaye kuanza kuongea.