Kwa hio umefurahi masikini wenzako wamatumbi wanavyoishi kwa shida sababu ya Iran kuzuia njia mpaka kupelekea mafuta kupanda bei?Iran is threatening undersea cables. The world’s ‘digital chokepoints’ have never been more vulnerable
Ngoma inogile waache wajichanganye tena safari hii hata pesa kwenye ATM hawatatoa .
Hizi zimepita pale Hormz ,wasipokata watalipisha tozo kama Misri lakini Iran wao waliacha free lakini dunia inaaminishwa Iran siyo mstaarabu.
View attachment 3591172
TUlia usome ,uelewe,changanua, Kule misri wanatoza ushuru kwenye hizo cable,Iran hakutoza ushuru ila kwa kuwa anachokozwa hiyo ndio silahaKwa hio umefurahi masikini wenzako wamatumbi wanavyoishi kwa shida sababu ya Iran kuzuia njia mpaka kupelekea mafuta kupanda bei?
Naona leo unafurahia wa Iran wakate nyaya za Internet, ili watu washindwe kuwasiliana.
Kama wa Iran ni watu wa haki, kwanini wasimalizane na hao maadui zao?
Je Serikali ya Tanzania ina ugomvi gani na Iran? Kwanini wazuie meli zinazoleta mafuta Tanzania?
Je mtu mwenye tabia ya "tukose wote" huoni kwamba ni mbaya mno?
kwan ukiwa mpenda haki ndio upelekeshwe na kuonewa au ulazimishwe mikataba kandamizi na ukubali kirahisi!?Kwa hio umefurahi masikini wenzako wamatumbi wanavyoishi kwa shida sababu ya Iran kuzuia njia mpaka kupelekea mafuta kupanda bei?
Naona leo unafurahia wa Iran wakate nyaya za Internet, ili watu washindwe kuwasiliana.
Kama wa Iran ni watu wa haki, kwanini wasimalizane na hao maadui zao?
Je Serikali ya Tanzania ina ugomvi gani na Iran? Kwanini wazuie meli zinazoleta mafuta Tanzania?
Je mtu mwenye tabia ya "tukose wote" huoni kwamba ni mbaya mno?
Kwakweli Iran miaka mingi meli zinapita bure pale Hormuzi na hizo nyaya! Feee navigation ni kwenye maji ya kimataifa huko na siyo hapo Hormuz pafinyu sanaIran is threatening undersea cables. The world’s ‘digital chokepoints’ have never been more vulnerable
Ngoma inogile waache wajichanganye tena safari hii hata pesa kwenye ATM hawatatoa .
Hizi zimepita pale Hormz ,wasipokata watalipisha tozo kama Misri lakini Iran wao waliacha free lakini dunia inaaminishwa Iran siyo mstaarabu.
View attachment 3591172
Huo ni uwoga tu sasa nyaya zimemkosea nini kwa nini asiende kuishambulia Marekani moja kwa moja kama Marekani anavyomshambulia.