Silaha mpya ya kutisha inayobadilisha vita nchini Ukraine

Unatakiwa uwe katika bunge la Urusi al'maarufu DUMA
 
Ukraine wenyewe wamesema urusi anavivuta vita kwa muda mrefu kusudi,majenerali wa marekani walishasema urusi hajatumia hata 15% ya uwezo wake

Weeeeeh... Apia. Hapo umeshakula maharagwe ya jana na mihogo unajamba tu tumbo limekuvimba unabeua huku ukikuna makalio na pumbuh umeshika remote nyumbani alikoolewa dada yako. Ndo unakuja andika huu upuuzi.
 
Urusi mungu aliiumba kwa ajili ya vita kaja napoleon wa ufaransa kapigwa Hitler kapigwa Ukraine it's only matter of time and then tutachagua yupi anafata kati ya Finland au ujeruma

Urusi mungu aliiumba kwa ajili ya vita kaja napoleon wa ufaransa kapigwa Hitler kapigwa Ukraine it's only matter of time and then tutachagua yupi anafata kati ya Finland au ujeruman
Jana Kremlin ilisema endapo makombora ya Ujerumani (toros) yakiipiga Moscow, kituo kinachofuata baada ya Ukraine ni Ujerumani
 
ni rahisi,
omba msaada wa nchi 30 zikusaidie kujilinda!
 
shikilia hapo Putin mpk wakuachie Ukraine yote,ni haki yenu warusi
 
Urusi ana silaha ambazo huwez hata kuziwazia, wengi hawamjui Russia vizuri, tena walimkosa kumuua Putin.. Majemedari wa jeshi wamemwambia onyesha ww ni nani, na hakuna wa kupiga Moscow now, hakuna Mrusi amechukia na yupo serious this time... West wana mabomu ya kufika Moscow, wajaribu waone
 
Kwasasa kinachowasumbua Wazungu wa Ulaya Magharibi nikuona Russia inadhidi kuchukua maeneo kwa kasi kubwa !!!!

Pamoja na misaada yao yote kwa Ukraine lkn bado Habari ni Dubu kudhidi kusonga mbele tena pande zote za Vita !!!!

Dubu anameza Vijiji ndio mana tumemuona Tramp akipayuka ovyo !!!!!
 
Kubwa jinga au sio, siku chokoza ugomvi tu hata kwa mtoto wa darasa la saba tu kisha aje na wenzie watano uone kama ukubwa utakusaidia😂
Ilo kubwa jinga linasaidiwa na Iran china Korea lakini linamshindwa mtoto mdogo kama Ukraine
 
We kichwani zero hiyo ni aibu ya kubwa jinga urusi kupambana na ki nchi kama Ukraine miaka minne huku likisaidiwa na china Korea iran 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…