Silaha mpya ya kutisha inayobadilisha vita nchini Ukraine

Silaha mpya ya kutisha inayobadilisha vita nchini Ukraine

We kichwani zero hiyo ni aibu ya kubwa jinga urusi kupambana na ki nchi kama Ukraine miaka minne huku likisaidiwa na china Korea iran 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona Ukraine anasaidiwa na mataifa 55 ? Unajifanya hujui Hilo !.
 
..nguvu iliyotumika dhidi ya Ukraine ni kubwa kupita kiasi.

..Ni jambo la kustaajabisha kwamba mpaka leo bado wanaitetea nchi yao.

..kuna mambo mengi sana ya kijeshi ya kujifunza toka kwa Ukraine.

..Mbinu gani za kutumia kujilinda ikiwa nchi ndogo itavamiwa na taifa kubwa lenye mabavu ya kijeshi, na kiuchumi.
Kwani Ukraine iko peke yake katika vita hii?
 
Urusi mungu aliiumba kwa ajili ya vita kaja napoleon wa ufaransa kapigwa Hitler kapigwa Ukraine it's only matter of time and then tutachagua yupi anafata kati ya Finland au ujeruman
Urusi ipo hoi mpaka hapa
 
Kwani Ukraine iko peke yake katika vita hii?

..hakuna nchi inapigana vita peke yake.

..mimi ninachoshangaa ni uvumilivu wa Ukraine pamoja na kudundwa, na kuchakazwa, kwa muda mrefu.

..ningekuwa mimi ndio Raisi wa Ukraine ningesalimu amri tu. Kama napigwa na sina uwezo wa kujibu mapigo ni bora kusalimu amri.
 
..Ukraine ni wadogo sana lazima wawezeshwe.

..msaada waliopewa na NATO wameutumia vizuri sana, na kuna mengi majeshi ya nchi yanapaswa kujifunza toka Ukraine.
Acha upumbavu wew wangekuwa wameutumia vizuri basi Warusi wangekuwa wapo kwao.Msaada wa Silaha na wanajeshi waliopewa Ukraine ingekuwa na Africa washachukua bara zima.
Kabla ya hapo tu Ukraine ilikuwa taifa kubwa kijeshi hapo Ulaya, ina mpaka viwanda vya kutengeneza silaha
 
..Ukraine walikosea kusalimisha makombora yao ya Nyuklia.

..Nchi ikiwa na makombora ya Nyuklia hakuna anayeweza kuwashambulia.
 
..Ukraine nchi ndogo ilitakiwa iwe imesambaratishwa zamani sana na taifa kubwa Urusi.

..Nikianzisha chuo changu cha kijeshi nakwenda kuchukua utaalamu wa kujilinda toka kwa Ukraine.
Ukraine analindwa na nato wewe ukachukue ujuzi upi kule
 
Ulimwengu wa sasa wa watu waliostaarabika sio wa kupigana vita:
Putini ni taahira
 
..Ukraine nchi ndogo ilitakiwa iwe imesambaratishwa zamani sana na taifa kubwa Urusi.

..Nikianzisha chuo changu cha kijeshi nakwenda kuchukua utaalamu wa kujilinda toka kwa Ukraine.
Ukachukue utaalamu wa kuomba mikopo ya silaha na ujuzi yenye riba kubwa toka marafiki zako kisha nchi inapangiwa masharti na waliokukopesha
 
Back
Top Bottom