Mbona Ukraine anasaidiwa na mataifa 55 ? Unajifanya hujui Hilo !.We kichwani zero hiyo ni aibu ya kubwa jinga urusi kupambana na ki nchi kama Ukraine miaka minne huku likisaidiwa na china Korea iran 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani Ukraine iko peke yake katika vita hii?..nguvu iliyotumika dhidi ya Ukraine ni kubwa kupita kiasi.
..Ni jambo la kustaajabisha kwamba mpaka leo bado wanaitetea nchi yao.
..kuna mambo mengi sana ya kijeshi ya kujifunza toka kwa Ukraine.
..Mbinu gani za kutumia kujilinda ikiwa nchi ndogo itavamiwa na taifa kubwa lenye mabavu ya kijeshi, na kiuchumi.
Kumbe umekubali ni kubwa jinga hahaha ki nchi kama Ukraine kinamsumbua mpaka anaomba msaada🤣🤣🤣🤣😂🤣Mbona Ukraine anasaidiwa na mataifa 55 ? Unajifanya hujui Hilo !.
Urusi ipo hoi mpaka hapaUrusi mungu aliiumba kwa ajili ya vita kaja napoleon wa ufaransa kapigwa Hitler kapigwa Ukraine it's only matter of time and then tutachagua yupi anafata kati ya Finland au ujeruman
Kwani Ukraine iko peke yake katika vita hii?
Acha upumbavu wew wangekuwa wameutumia vizuri basi Warusi wangekuwa wapo kwao.Msaada wa Silaha na wanajeshi waliopewa Ukraine ingekuwa na Africa washachukua bara zima...Ukraine ni wadogo sana lazima wawezeshwe.
..msaada waliopewa na NATO wameutumia vizuri sana, na kuna mengi majeshi ya nchi yanapaswa kujifunza toka Ukraine.
Acha upumbavu wew wangekuwa wameutumia vizuri basi Warusi wangekuwa wapo kwao.Msaada wa Silaha na wanajeshi waliopewa Ukraine ingekuwa na Africa washachukua bara zima.
Kabla ya hapo tu Ukraine ilikuwa taifa kubwa kijeshi hapo Ulaya, ina mpaka viwanda vya kutengeneza silaha
Ukraine analindwa na nato wewe ukachukue ujuzi upi kule..Ukraine nchi ndogo ilitakiwa iwe imesambaratishwa zamani sana na taifa kubwa Urusi.
..Nikianzisha chuo changu cha kijeshi nakwenda kuchukua utaalamu wa kujilinda toka kwa Ukraine.
Unajitoa ufahamu, kubwa jinga weeUrusi kweli Hamna kitu ki nchi kama Ukraine kinawalambisha mchanga mwaka wa nne huu aisee urusi kubwa jinga kabisa
Ukraine analindwa na nato wewe ukachukue ujuzi upi kule
Kwamba mabomu na risasi za Putin vyawasitiri wanawake na watoto ki Ukraine.Umemuweza sana!!!!
Ukachukue utaalamu wa kuomba mikopo ya silaha na ujuzi yenye riba kubwa toka marafiki zako kisha nchi inapangiwa masharti na waliokukopesha..Ukraine nchi ndogo ilitakiwa iwe imesambaratishwa zamani sana na taifa kubwa Urusi.
..Nikianzisha chuo changu cha kijeshi nakwenda kuchukua utaalamu wa kujilinda toka kwa Ukraine.
Usifananishe na Israel anayemlenga mtoto kimakusudi na sniper.Kwamba mabomu na risasi za Putin vyawasitiri wanawake na watoto ki Ukraine.
Yote hayo Russia afanya piaUsifananishe na Israel anayemlenga mtoto kimakusudi na sniper.
Lete ushahidi wa askari wa Russia kumlenga deliberately mtoto kwa sniper?Yote hayo Russia afanya pia