Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kuna taarifa kuwa wanamgambo kutoka Iraq na Iran wamekuwa wakimiminika kwenye mipaka ya Israel hasa upande wa Lebanon.Pamoja nao ni malori yenye shehena za silaha.
Tony Blinken wakati akiondoka Cairo baada ya mazungumzo na raisi Elsisi.
'Very clear' Iran is moving people, weapons to Israel's northern border: Benjamin Hall
Hali hiyo inaonekana kumshtusha rais Joe Biden wa Marekani na kumfanya afunge safari haraka kuelekea Israel ikiwa ni siku moja tu tangu kukamilika kwa ziara ya mjumbe wake wa ngazi za juu,Anthony Blinken inayoonekana kutibua zaidi hali ya hewa katika eneo hilo.The US is mounting a frantic effort to head off a wider Middle East war
Suala la kujiuliza jee Israel itasikiliza nasaha za kuacha ubabe na kurudisha nchi ya watu au watachagua kunyeshewa na mvua ya droni za Shaheed zile zinazoitesa Ukraine ?Tony Blinken wakati akiondoka Cairo baada ya mazungumzo na raisi Elsisi.