Stoo ya silaha huwa haisafishwi hivyo.Wamagharibi wenyewe wanasema Urusi anatumia silaha za zamani tu mpya hajatoa hata kidogo zaidi ya yale makombora yasiyozuilika.
Hata US/NATO hakuna anaempa Ukraine silaha mpya zote ni za zamani tu.
Yaani kwa operation ya Ukraine Urusi ni kama anasafisha stoo tu..
Mkuu weka reference ya taarifa za jaribio hilo watu wajiridhishe wenyewe.wewe kutokujua kuwa vifaru hivyo vilikuwa tested kwenye theater na kuondolewa ni tatizo lako
Na ukute ni graduate,hii nchi Ina shida sanaUna maana Urusi hawana silaha walizotengeneza toka enzi hizo, tokea sisi tunaagiza toka kwao?
Na haya makombora yanayokwenda spidi ya G5, na kuwa na uwezo wa kuepa kinga dhidi yake, nayo ni teknologia ya zamani?
Kuna vitu unachanganya na vingine unapatia.Kuna makombora ya na mbili hapo: Isobaric na hypersonic. Isobaric ni makombora ya kawaida sana ambayo yapo siku nyingi sana tangu mabom ya Hydrogen yaliopaonza kutengezwa zaidi ya miaka 40 iliypoita. Kama Nyuklia, yanapigwa vita kwa sababu ni WMD yanakamua oxygyen yote na kuua kila kiumbe kilichopo.
Tatizo labda ni hayo makombora ya hypersonic, ambayo Marekani haijatangaza kuwa nayo kwa sababu kadhaa. Hata Urusi inayatangaza lakini inayotangaza siyo Hypersonic kweli. Makombora ya hypersonic yanatakiwa kurushwa kutokana na chanzo ambacho tayari kinakaribia supersonic. Hakuna kombora linaloweza kurushwa kutoka stationary launcher ardhini halafu likafikia spidi ya hyepersonic kwenye hii atrmsopheric space. Aerodynamic principles haziruhusu kabisa kitu hiyo. Njia inayotumia kuwapata hypersonic speed ni kuyarusha makombora haklo kwa kutumia rocket ya kawaida hadi kwenye orbit fulani ambako yanaaculumate spid kufuikia kiwango kuwa yakiachiwa yanaccelerate hadi kufikia hypersonic.
Mabomu aliyotangaza Putin kuwa ni Hypesronic siyo kweli ingawa kweli yana spidi kubwa kutokana na uijazo wake wa rocket fuel lakini huwa hayafikii hapyesonic speed. Mabomu ya spidi kubwa kutokana na wingi wa fueli yake kama hiyo yapo Marekani pia lakini hawayatangazi kama hyepersonic.
Hiyo siyo kweli. Vita imeanzishwa na Urusi, na hata hivyo marekani ilisita sana kuisaidia Ukraine hadi baada ya zaidi ya mwezi na nusu. Urusi anaopoona anaanza kuelemewa ndipo anatafuta wa kulaumu kuwa marekani ndiyo ilisababisha vita. Putin alikutana na viongozi wengi sana wa nchi za Magharibi wakimwomba aachane na mambo ya kuvamia nchi jirani, yeye akadhani wanamuogopa. Sasa ngoja avune alichopanda.Kuna mwanajeshi aliyepo upande wa Ukraine alituhumu US kuwa imefanya vita ya Ukraine na Russia kama sehemu ya kuteketeza siraha zake za zaman! Mizinga waliyopeleka sometime hailipuki wamepeleka siraha za zaman!
Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi hizo guided munitions hana nyingi kwenye stock maana ni gharama sana. Hata hizo hypersonic missiles unazosema ni za gharama maradufu na hakuna jeshi linaweza sutain kuzitumia, Urusi hana hata hypersonic missiles 100 yani zimeanza miaka mitatu sijui hapo nyuma. Ndio maana Israel baada ya kuona inatumia missile ya $100,000 kufanya interception ya maroketi ya Hamas yenye gharama za $200 ikaamua iunde mfumo wa kutumia laser ambao sana sana utakula umeme tu. Israel wako very concerned na cost kuliko majeshi makubwa mengine duniani.Una maana Urusi hawana silaha walizotengeneza toka enzi hizo, tokea sisi tunaagiza toka kwao?
Na haya makombora yanayokwenda spidi ya G5, na kuwa na uwezo wa kuepa kinga dhidi yake, nayo ni teknologia ya zamani?
Kati ya mwaka 2003 hadi 2007 nilifanya kazi nyingi za kitafiti kwenye jeshi la Marekani. Mpaka leo bado nina marafiki ambao wameshastaafu jeshini lakini bado ni consultants wa mambo ya kivita na huwa tunaongea mara kwa mara na vile vile hunisidia kupata hela za kufanyia utafiti. Ninawaamini sana wao kuliko unavyoniambia wewe.Kuna vitu unachanganya na vingine unapatia.
Kuna vingine hujui vimeundwaje na vinafanyaje kazi.
Kwanza si kweli kwamba huwezi rusha kombora la hypersonic speed kutoka ktk kifaa kilichopo ardhini.
kwa taarifa yako silaha nyingi tu zinafikia hiyo speed maana hypersonic speed ni speed yoyote inayoanzia mara 5 ya speed ya sound na ndiyo kitu wanaita mach 5.
Ni kweli aliyorusha russia ukraine siyo true cruise hypersonic missile. Ila anayo hiyo ya ukweli hajatumia inaitwa AVANGAD siyo ile KINZHAL aliyotumia ukraine ambayo ni variant ya ISKANDER.
soma hapa What to know about Russia's hypersonic missiles
Mkuu kuna report imetolewa na pentagon inaelezea kuachwa kwao nyuma na Russia na China kwenye mkakati wa silaha hizo.Kati ya mwaka 2003 hadi 2007 nilifanya kazi nyingi za kitafiti kwenye jeshi la Marekani. Mpaka leo bado nina marafiki ambao wameshastaafu jeshini lakini bado ni consultants wa mambo ya kivita na huwa tunaongea mara kwa mara na vile vile hunisidia kupata hela za kufanyia utafiti. Ninawaamini sana wao kuliko unavyoniambia wewe.
Kufikia spidi ya Mach 5 siyo hadithi ya lelemama. Concorde ilikuwa inafikia March 2 tu na ilikuwa ni lazima iruke hadi kufikia altitude ya km18 juu ya uso wa dunia ili kufikia spidi hiyo. Maroketi yanayokwenda anga za juu hufikia max q kwa spidi chini sana ya hapo mpaka yanapovuka atmopsheric space.
Maake apo kwanza nchekeKwamba Urusi ishapitwa na wakati kwenye technolojia ya vita..
Ngoja nicheke kwanza 😄😄😄
Well kwa vile hujui kuwa Pentagon huwa wako mbele sana, ni vigumu kukubaliana nami kuwa hata wao wanajua kabisa namna ya kutokumwaga mchele mbele ya kuku wengi.Mkuu kuna report imetolewa na pentagon inaelezea kuachwa kwao nyuma na Russia na China kwenye mkakati wa silaha hizo.
Wamethibitisha madai ya majaribio yaliyofanywa na China na Russia ni ya kweli lakini silaha za China hazikuwa precise kupiga target.
Nikikumbuka reference ya report rasmi nitakuwekea.
Unaamini opinion ya rafiki zako au taarifa rasmi ya DoD ya serikali yao iliyotolewa na Pentagon?
Tatizo halikuwa kufikia mach 5 kwani wote walifanikiwa including USA mwenyewe. Soma link niliyokupa ya CNN.
Wewe ni victim wa propaganda za media za wapinzani wa China.Technology nyingi za china ni zile walizodownload kwenye computers za Makampunia ye kijeshi ya marekani mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili wakati makampuni hayo hajajua kuwa kuna wanaowafuatilia. Baada ya hapo, China wanafanya mambo ambayo yameshapitiwa na pentagon. Ukiamini kuwa Pentagon inasema hatuna uwezo, basi ujue huamini ukweli.
Umemaliza mitihani hapo chuo?Nin wasiwasi sana na silaha za masafa merfu tulizo nazo ndani ya majeshi yetu ya ulinzi. Miaka ya 200o kuna zile zilizokuwa zinaripuka zenyewe kule mbagala. Na ninavyokumbuka Tanzania tuliwahi kununua vifaru vingi na Gun Howitzers nyingi sana wakati wa utawala wa Nyerere kutokea Urusi. Silaha azile ndizo kwa kiasi kikubwa sana zinazotumika sasa hivi vitani huko Ukraine. Urusi inazitumia na Ukraine pia inazitumia. Jambo linalojitokeza ni kuwa mizinga inayotumika katika howitzers na vifaru hivyo haipatikani tena. Urusi haizitengenezi tena, na Ukraine imekusanya mizinga karibu yote iliyokuwa kwenye nchi za Warsaw pact na haitoshi kwani mizinga mingine imekuwa hailipuki; hiyo imetokea kwenye pande zote mbili za magogoro huo. Sijaona Tanzania ikitupa vifaru vya zamani na kuleta vipya, na sijui kama Tanzania itapata tena mzinga ya kutumia kwenye vifaru hivyo kama siyo vya shoo tu. Vifaru kama hivyo leo hii vimekuwa scrap zilizosambaa kwenye ardhi ya ukraine.
Ninajua kuwa zamani shirika la Mzinga liliundwa ili kuwa linatengeza mizinga hiyo, ila sasa baada ya kutokuwa na matumizi ya mizinga hiyo kwa muda mrefu sijui tuko wapi. Ila vita hii ya Ukraine tuichukulie kama funzo kuwa utegemezi wa silaha za urusi siyo jawabu la usalama na ulinzi wetu tena. Urusi imeshapitwa na wakati sana kwenye teknolojia ya vita.
View attachment 2219644View attachment 2219645View attachment 2219646
Bei ya kombora mmoja tu ni kama 50 million usd,ni gharama pia bado kwenye majaribio.wamepitwa sana mzee; Usitishwe na hayo makombora ya hypersonic au isobaric. Hizo sIyo silaha za kushindia vita kwani jeshi haliwezi kuwa nazo nyingi kiasi hicho, na ina fact kiwanda cha silaha hizo sasa hivi kimeshindwa kuendelea na kazi kutokana na vikwazo.
Kuwa na silaha bora sio guarantee ya kumudu vita.Mtumiaji anatakiwa awe amejifunza na kuelewa kwa ufasaha matumizi ya zana hiyo.Kuna makombora ya na mbili hapo: Isobaric na hypersonic. Isobaric ni makombora ya kawaida sana ambayo yapo siku nyingi sana tangu mabom ya Hydrogen yaliopaonza kutengezwa zaidi ya miaka 40 iliypoita. Kama Nyuklia, yanapigwa vita kwa sababu ni WMD yanakamua oxygyen yote na kuua kila kiumbe kilichopo.
Tatizo labda ni hayo makombora ya hypersonic, ambayo Marekani haijatangaza kuwa nayo kwa sababu kadhaa. Hata Urusi inayatangaza lakini inayotangaza siyo Hypersonic kweli. Makombora ya hypersonic yanatakiwa kurushwa kutokana na chanzo ambacho tayari kinakaribia supersonic. Hakuna kombora linaloweza kurushwa kutoka stationary launcher ardhini halafu likafikia spidi ya hyepersonic kwenye hii atrmsopheric space. Aerodynamic principles haziruhusu kabisa kitu hiyo. Njia inayotumia kuwapata hypersonic speed ni kuyarusha makombora haklo kwa kutumia rocket ya kawaida hadi kwenye orbit fulani ambako yanaaculumate spid kufuikia kiwango kuwa yakiachiwa yanaccelerate hadi kufikia hypersonic.
Mabomu aliyotangaza Putin kuwa ni Hypesronic siyo kweli ingawa kweli yana spidi kubwa kutokana na uijazo wake wa rocket fuel lakini huwa hayafikii hapyesonic speed. Mabomu ya spidi kubwa kutokana na wingi wa fueli yake kama hiyo yapo Marekani pia lakini hawayatangazi kama hyepersonic.
Inawezekana kabisa kuwa wewe hujui maana ya 5G; unakariri tu kuwa China ndiyo iliyoanza 5G bila kujua maana yake kabisa na pia bila kuelewa kwa nini China ndio walianza.Wewe ni victim wa propaganda za media za wapinzani wa China.
Vipi kuhusu teknolojia ya 5G China ali-copy kwenye computer ya wamarekani ambao bado walikuwa hawana hiyo teknolojia?
Hivi hujui intelligence gathering imehama kutoka kwenye simple copy n paste toka kwenye computer?
China na wengine hawaibi hivyo teknolojia.
Usa ilidanganya tu ili adui aingie ChakaMkuu kuna report imetolewa na pentagon inaelezea kuachwa kwao nyuma na Russia na China kwenye mkakati wa silaha hizo.
Wamethibitisha madai ya majaribio yaliyofanywa na China na Russia ni ya kweli lakini silaha za China hazikuwa precise kupiga target.
Nikikumbuka reference ya report rasmi nitakuwekea.
Unaamini opinion ya rafiki zako au taarifa rasmi ya DoD ya serikali yao iliyotolewa na Pentagon?
Tatizo halikuwa kufikia mach 5 kwani wote walifanikiwa including USA mwenyewe. Soma link niliyokupa ya CNN.
Graduates wengi wanaangushia sana ndio maana hata mtaani uwezo wao umeonekana kuwa ni mdogo. Mambo yanayoitaji taaluma kama silaha anataka achangie wakati hajui lolote.Na ukute ni graduate,hii nchi Ina shida sana