KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Tanzania itafute haya masilaha kwa sababu za kupambana na nani?Tanzania haiwezi kununua hayo makombora kwa sababu kwanza siyo mengi, hata urusi na marekani wenyewe wanayo machache tu. Halafu huhitaji gunners maalumu ambazo zimejengewa kwenye meli zao za kivita. Kwa hiyo Tanzania inapotafuta silaha kama vifaru na Howitzers; wasitafute urusi.
Tanzania ingefaa ielekeze hicho kidogo kilichopo katika kuwajengea uwezo walinzi wetu wa kutafiti na kutafuta njia mbadala za hayo masilaha katika kujilinda sisi wenyewe.