Silaha za Masafa Marefu Zinazomilikiwa na JWTZ

Tanzania itafute haya masilaha kwa sababu za kupambana na nani?

Tanzania ingefaa ielekeze hicho kidogo kilichopo katika kuwajengea uwezo walinzi wetu wa kutafiti na kutafuta njia mbadala za hayo masilaha katika kujilinda sisi wenyewe.
 
Kwa nchi kama Tanzania nadhani ni muda sahihi wa kuanza kufikiria kama vihela vyetu kidogo vinatumika sahihi kuendelea kununua hizi silaha tunazonunua ambazo tayari zinakuwa 'obsolete'.
Katunge World Wide na wenzako shaurini vizuri wakubwa wenu kuhusu hili.
Tanzania ingefaa ielekeze hicho kidogo kilichopo katika kuwajengea uwezo walinzi wetu wa kutafiti na kutafuta njia mbadala za hayo masilaha katika kujilinda sisi wenyewe.
T14 Armata
 
Hizo Laser weapon system zilishakuwapo kwenye matumizi siku nyingi sana, siyo jambo geni. Marekani ilianza majaribio ya laser weapons tangu miaka ya tisini; ni mradi wa jeshi uliokuwa umepewa Lockheed Martin ambao mpaka leo ndio wanazitengeneza. Baada ya hapo wakaanza protection against silaha hizo. Kwa hiyo usisikiea urusi wanatangaza ukadhani wengine hawana. Mojawapo ya tabia kubwa sana ya urusi nioiyoona ni kuwa wako vizuri sana kwa propaganda, ndiyo maana hutangaza kuwa wana silaha fulani hata kama bado iko kwenye preliminary stages. On the other hand, marekani huwa hawatangazi silaha zao mpya.


Jamming ya GPS L1 band signals ni jambo la kawaida sana, ni kama ambavyo RF signals zozote zinavyoweza kuwa jammed. L2 band inayotumia na GPS za kijeshi marekani haziwi jammed kirahisi hasa kwa vile in operation huwa zinabili frequency mara kwa mara.
 
Mkuu, elewa tu kwamba haya mambo siyo rahisi kwa yeyote.

Pangekuwepo na urahisi, wakati huu urusi wangekuwa washazuiwa haraka sana. Huko Syria kwenyewe, si uliona yaliyotokea? Sasa hii mara nyingine tena, unadhani kuna mtu mwenye uwezo mkbwa anayependa hadhi yake itiliwe mashaka?
 
Ni kweli kuwa siyo rahisi kwa yeyote, lakini pia siyo kuwa ni ya urusi tu. Laser weapons zilishajaribiwa na kuwa perefected na Marekani siku nyingi sana, na Israel pia imo. Wewe google Laser Weapons utakutana na ushahidi mwingi.





 
Tanzania itafute haya masilaha kwa sababu za kupambana na nani?

Tanzania ingefaa ielekeze hicho kidogo kilichopo katika kuwajengea uwezo walinzi wetu wa kutafiti na kutafuta njia mbadala za hayo masilaha katika kujilinda sisi wenyewe.
Niliwahi kushauri kuwa nchi za Afrika ya Mashariki ziwe na mkataba wa Ulinzi kama wa NATO, itaondoa kabisa mifarakano inayoweza kujitokeza mipakani na hivyo silha hizo hazitakuwa na umuhimu wowote. Ila katika mazingira haya ya sasa ambako majirani wana majeshi yao yenye silaha kali, inabidi Tanzania nayo iwe na silaha kali. Hatuhitaji cruise missiles kwa vile hatuna uwezo nazo, ila tunahitaji vifaru, Howitzers na ndege za kivita.
 
Silaa nyingine tuliopoteza kbsa mkuu kichuguu ni Uzalendo, hta wakati tunapambana na Nduli Amini hatukua na silaha bora kumzidi silaha yetu kuu ilikua Uzalendo leo hii Dunia imebadilika hususan nchi yetu imepoteza kbsa Uzalendo, leo hii atokee mwendawazimu1 atuvamie nahisi vijana wengi watakua upande wa Adui
 
Lakini hapa East Africa zipo nchi ambazo zinaweza kuzuwia lisitokee tukio kama la Westgate kuliko kusubiri litokee uanze kupambana na adui.
Naamini Tanzania na Rwanda wanaweza kuzuia.

It's my guess based on my intuition..
 
Lakini hapa East Africa zipo nchi ambazo zinaweza kuzuwia lisitokee tukio kama la Westgate kuliko kusubiri litokee uanze kupambana na adui.
Naamini Tanzania na Rwanda wanaweza kuzuia.

It's my guess based on my intuition..
You are very wrong. Pale Salender darajani alitokea Hamza mwenye kitambi, mzembe mzembe katoka familia tajiri hata kukimbia hajui. Huyo alisumbua askari na walifyatua risasi nyingi kabla hawamjapata. Pale Westgate walikuwa ni wapiganaji wenye uzoefu, kasi na determination. Ingekuwa Tanzania tungekufa wengi
 
Nadhani hujanielewa.
Pale tayari ilishatokea.

Matukio madogo yanayofanywa na mtu mmoja binafsi ambayo hutokea arbitrary siyo coordinated na known terrorist cells ngumu kupata intel za kuweza kuyazuia yasitokee.
Haya hata nchi zilizoendelea kama Marekani na kule Ulaya yanatokea mara nyingi na watu wameuwawa kama ilivyotokea kwa kesi ya Hamza. Ni ya kustukiza sana.

Makubwa kama ya Westgate nimekubaliana nawe yakitokea inakuwa shida kukabiliana nayo kama ulivyo sema. Hatuna mafunzo na uzoefu kama wenzetu.
 
Kesi ya Hamza ni sawa na kesi ya Rittenhouse mwaka juzi na huyo Pyton wiki iliyopita pale mjini Buffalo. Mshambuliaji anaweza ua watu wengi ila inashangaza kuona Hamza pale alifanya askari wakusanyike waanze kutumia silaha zao kulenga shabaha kwa kufunga jicho. Israel kule wanaojitoa mhanga wanalazimika kutumia visu kufanya stabbing kama hawana bunduki, wanafanya kwa haraka sana maana response ya askari ni haraka. Askari hawana kukoseakosea, tukio likitokea wanakufa raia wawili watatu ila askari akishaona mhusika basi tena. Hali yao ni tishio sio kama sisi Hamza alitembea akampita hata yule muokota makopo, watu wakampiga picha, anafokea watu yuko free kabisa. Israel ufanye ugaidi muda wa kufokea mtu unapata wapi, ukichelewa hata mmoja hujaua wewe ushauwawa.

Hapa bongo sijawahi ona dedicated special force kwa ajili ya kupambana na ugaidi wakiwa na silaha za kuwezesha. Ukute hatuna night vision optics, infrared seekers, day optics, sights na components kadhaa za silaha ambazo hata tukiwa nazo kwa ajili ya kikosi cha watu wasiozidi 100 nchi nzima zinatosha. Mbona kila wilaya ina V8 za kutosha.

Kule Kenya eti walipeleka wanajeshi, silaha za msituni na silaha za close combat ni tofauti kabisa. Miaka ya baadae kwenye mazoezi niliona Kenya wana silaha tofauti kabisa na sasa wanajua likitokea tukio nani anadeal nalo, ile Westgate hata coordination walishindwa
 
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha saana
 

Yaani unafananisha hizo skrepa za Kenya na Chengdu J-7 za Tanzania!
Ona hizi comparison namna hizo skrepa zilivyo achwa mbali.
Angalau Uganda.



 

Punguza kudharau nchi yako.
The Tanzanian People’s Defence Force (TPDF) has swapped 12 old Chinese-made J-7 fighter aircraft with 14 new J-7Gs, as the country forges ahead with the modernisation of its aerial defence capabilities.

 
J7[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tuliswap HYUNDAI i10 kuchukua PASSO

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Tuna dedicated special unit kwa ajili ya counter terrorism?,Au unafikri ukishakuwa na special forces(Makomandoo) basi inatosha?.
 
Tuna dedicated special unit kwa ajili ya counter terrorism?,Au unafikri ukishakuwa na special forces(Makomandoo) basi inatosha?.
Hujaipata hoja yangu hata kidogo.
Siko huko kwenye makomandoo na mapambano ya silaha.

Nisome tena mara 3 au zaidi utapata mwanga naongelea nini.
 

Vifaru vinatumiwa kuwatisha wananchi ili kuibia kura na kuweka viongozi wanaotakiwa na Tanganyika/ CCM huku Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…