Silence is the best reply to a fool, ukiona mtu ni mjinga mpuuze

Silence is the best reply to a fool, ukiona mtu ni mjinga mpuuze

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Mjinga anatakiwa apuuzwe...
Unakuta mtu anajibizana na fool na kurushiana matusi hadharani..sasa hapo wote tutawaona wajinga.
Screenshot_20260429-114113~2.jpg


#A fool is fool never change.
 
Mjinga anatakiwa apuuzwe...
Unakuta mtu anajibizana na fool na kurushiana matusi hadharani..sasa hapo wote tutawaona wajinga.
View attachment 3581285

#A fool is fool never change.
Kuna mtu huwa namueleza kila siku ila hanielewi anasema nina usabato mwingi, saivi nimemuacha tu uzuri vichaa ukiwakimbiza wanaona mnacheza wakati huo wew unajidhalilisha
 
Mjinga anatakiwa apuuzwe...
Unakuta mtu anajibizana na fool na kurushiana matusi hadharani..sasa hapo wote tutawaona wajinga.
View attachment 3581285

#A fool is fool never change.
Umemlenga mwanasiasa gani?

Maana kama umetoa hoja kijumlajumla, mbona wajinga na wapumbaf ni wengi sana tu, utaweza kuwanyamazia wote hao?

Kwa sababu idadi yao ni kubwa sana kuzidi ya waerevu.
 
Mjinga ni mtu wa aina gani?
Nini maana ya ujinga?
Unatumia vigezo gani kufikia conclusion ya kusema fulani ni mjinga? anakua mjinga kwenye angle gani?

Wewe ambaye unamuita mwenzako mjinga,wewe unakua umetumia vigezo gani kujiona kua wewe sio mjinga?
Wewe unakua sio mjinga kwenye angle ipi? kwenye mambo gani?

Tuanzie hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom