Silent Hero Huyu ni Mzalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Ndie Aliyefanya Katiba Ifuatwe Mama Akawa!. Apewe Maua Yake!... Stahiki ni kuwa DGIS in Future!

Paschal anataka kuwa DAS alambe naye pension
Mkuu Benja, Benjamini Netanyahu , nakwenda 60, nimefanya zaidi ya 30 years, mimi ni mwandishi wa habari, naandikia magazeti 6, mimi ni mtangazaji wa redio, natangazia redio 5, mimi ni mtangazaji wa TV, natangazia vituo 5, mimi ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea nikitoa elimu ya katiba, sheria na haki, na msaada wa kisheria, niwe DAS ili nikafanye nini?.
Please!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
 
Tukio lilivyo tokea TISS WA viongozi walijua na habari kujulikana visiwani wakati huku Bara tukiendelea na shughuli, pia madaktari JKCI walijua. Nao wakawapa za ndani, wandani wao
JKCI????????? Sio Hospital ya Mzena tena?

Ulisikiliza interview ya aliyekuwa mkuu wa majeshi Mabeyo?? Juu ya watu walio fahamu kifo cha Magufuli??
 
Kaka

Maji ya kifuu ni bahari ya chungu…. Yeye anaona uDAS ni Bonge la cheo

Baadhi ya unaojibizana nao humu hawana hata direction

Ignore them…. Chapa kazi
 
JKCI????????? Sio Hospital ya Mzena tena?

Ulisikiliza interview ya aliyekuwa mkuu wa majeshi Mabeyo?? Juu ya watu walio fahamu kifo cha Magufuli??
Inaweza kuwa hapo Mzena , lakini Magu alikuwa na Shida ya Moyo na Dr wake alikuwa Kisengi na Boss wa Kisengi JKCI alikuwa Janabi, na ndio uvumi wa kuchomoa Beteri ukaja.
 
Tukio lilivyo tokea TISS WA viongozi walijua na habari kujulikana visiwani wakati huku Bara tukiendelea na shughuli, pia madaktari JKCI walijua. Nao wakawapa za ndani, wandani wao
Video ya Chahali aliipandisha youtube terehe 12, tukatangaziwa tarehe 17, who was running the show for 5 good days!。 VP anatumwa na rais, rais gone!, nani alimtuma Samia Tanga?。 Niliuliza Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5? walikuwa wanafanya nini na yeye for five good days na watu hao wamefanywa nini?。

P
 
Video ya Chahali aliipandisha youtube terehe 12, tukatangaziwa tarehe 17, who was running the show for 5 good days!。 VP anatumwa na rais, rais gone!, nani alimtuma Samia Tanga?。 Niliuliza
P
Ndio hivyo kifo cha mkubwa ni matayarisho mengi, kumbuka hata cha Mwl, matayarisho Mchachani yanafanyika, kule ukerewe tunaambia ukimshika mkono anakukazia kuonyesha yupo mzima.
Sasa kama ilivyokuwa ya Awamu ya 5 na Chahali video , Mzee alikuwa kitabibu hatunaye na ndio taarifa za watu wakaribu zukavuja, lakini hawakupenda kuamini kuwa hatunaye tena. Na Mzena ina watu wa visiwani .
Baada ya Raisi , ikulu kuna Katibu Mkuu Kiongozi
 
Comprehensive narrative, hebu tuishi humu
 
Paskali wewe ni mtu fake sana... hauko genuine.... yanayokutokea ni sawa tu... ujuaji mwingi na uchawa uchawa ambao haujawai ata kukufikisha popote... unasema ktk watu maarufu na wewe humo, nani anakujua nchi hii??? wewe sio mtu maarufu wala. Lini wewe uliwai kumsema vibaya magufuli ata ukafikia hatua ya kudhuliwa??? lini ata huyo Musiba aliwai kukupost kwenye kijigazeti chake?? .... Mama endelea kuzibia maskio watu wanafiki kama hawa.
 
Thin veiled dig..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…