...
Hivi si inaruhusiwa kwa sisi kuwauliza wao ....
HAhahahahahha AD, you again!! Hunichoshi mydia.
Unajua sometimes huku kwetu wengi hii excitement huwa hatuipati kwani mara nyingi pete tunavishwa tukiwa tusajua kuwa tunaolewa (na pengine hata vikao vilisha anza). Yaani inakuwa kama kuformalize tu ambayo nafikiri inaipunguza sana hii excitement.
Hivi hakuna anayetaka kunivisha kikongwe mie nami niifeel kabla sijarudi udongoni?! hahh
HAhahahahahha AD, you again!! Hunichoshi mydia.
Unajua sometimes huku kwetu wengi hii excitement huwa hatuipati kwani mara nyingi pete tunavishwa tukiwa tusajua kuwa tunaolewa (na pengine hata vikao vilisha anza). Yaani inakuwa kama kuformalize tu ambayo nafikiri inaipunguza sana hii excitement.
Hivi hakuna anayetaka kunivisha kikongwe mie nami niifeel kabla sijarudi udongoni?! hahh
Hivi zile siku tatu za SRM zilikuwaje? au story iliishia kati? Ngoja nikaiangalie
Ulijaribu lakini? au unasubiri muda muafaka?Bado nasubiria siku ifike
Afroie, will you marry me?
Damn, sijui hili sredi limenipitaje.....dah!
Mi sikumbuki kama nlishawahi muuliza.... Siku alipokuja kulala kwangu kwa mara ya kwanza hajawahi kuondoka mpaka leo.....Babu hebu baeleze kidogo za enzi hizo ulivyomwuliza bibi mapigo yalikuwa ngapi
RR hata wakujaribu nae hajapatikana, ngoja niendelee kusubiriUlijaribu lakini? au unasubiri muda muafaka?
Mi sikumbuki kama nlishawahi muuliza.... Siku alipokuja kulala kwangu kwa mara ya kwanza hajawahi kuondoka mpaka leo.....
Mnakuwa mmeshakubaliana na binti, lakini unapomkamata na kutimua naye anapiga kelele kijanja huku anakunong'oneza "Ongeza spidi watatukamata" khaaa!hahahahahaa...........zile enzi unavizia akipita migombani anachagua bega.............au kwenye zile party za mbege unaanda vijana
Nashindwa kabisa kuamini... ila nakutakia kila la heri. Hakuna raha kama ile ya kua na uhakika wa kwamba huyu hapa ndie yule mtu nilikua nasubiri. Na kua makini sababu anaweza kua ni tu uko nae muda mrefu ila tu kwa neno fulani au tendo fulani unaona kwamba ndie uliekua unamsubiri... then usisite tena, we mwambie tu.RR hata wakujaribu nae hajapatikana, ngoja niendelee kusubiri
Hapo kwenye bluu inabidi uamini tu naendelea kumuomba Mungu anionyeshe njia, kwenye red naomba iwe hivyo kwa kweli]Nashindwa kabisa kuamini...[/COLOR] ila nakutakia kila la heri. Hakuna raha kama ile ya kua na uhakika wa kwamba huyu hapa ndie yule mtu nilikua nasubiri. Na kua makini sababu anaweza kua ni tu uko nae muda mrefu ila tu kwa neno fulani au tendo fulani unaona kwamba ndie uliekua unamsubiri... then usisite tena, we mwambie tu.
Eish! Yaani hiyo red ndo ishakuwa blue.......... Hizi bange hizi!Hapo kwenye bluu inabidi uamini tu naendelea kumuomba Mungu anionyeshe njia, kwenye red naomba iwe hivyo kwa kweli
RR hata wakujaribu nae hajapatikana, ngoja niendelee kusubiri
Eish! Yaani hiyo red ndo ishakuwa blue.......... Hizi bange hizi!
Hivi mtandao siku hizi unapiga bange hadi unachanganya mamboEish! Yaani hiyo red ndo ishakuwa blue.......... Hizi bange hizi!
Rocky hata huyo bata wa kumchunguza bora angekuwepo basi ningeweza hata kusema chochote hapaTF ukimchunguza sana bata hutamla na wala hutakula nyama yake
So watch out mkuu usije ukawa so selective hata ukakosa wa kumwambia will u marry me
Rocky hata huyo bata wa kumchunguza bora angekuwepo basi ningeweza hata kusema chochote hapa