Silly question...

Silly question...

HAhahahahahha AD, you again!! Hunichoshi mydia.
Unajua sometimes huku kwetu wengi hii excitement huwa hatuipati kwani mara nyingi pete tunavishwa tukiwa tusajua kuwa tunaolewa (na pengine hata vikao vilisha anza). Yaani inakuwa kama kuformalize tu ambayo nafikiri inaipunguza sana hii excitement.

Hivi hakuna anayetaka kunivisha kikongwe mie nami niifeel kabla sijarudi udongoni?! hahh

Hivi zile siku tatu za SRM zilikuwaje? au story iliishia kati? Ngoja nikaiangalie
 
HAhahahahahha AD, you again!! Hunichoshi mydia.
Unajua sometimes huku kwetu wengi hii excitement huwa hatuipati kwani mara nyingi pete tunavishwa tukiwa tusajua kuwa tunaolewa (na pengine hata vikao vilisha anza). Yaani inakuwa kama kuformalize tu ambayo nafikiri inaipunguza sana hii excitement.

Hivi hakuna anayetaka kunivisha kikongwe mie nami niifeel kabla sijarudi udongoni?!
hahh

Kule mafichoni mlikokwenda na jamaa (watu wakasema eti alikuwa Mbu) kipindi kile nahisi mkienda tena, yatajitokeza hayo! Take my words!!!
 
Hivi zile siku tatu za SRM zilikuwaje? au story iliishia kati? Ngoja nikaiangalie

Ooops! Bora umenikumbusha. Exactly, zilikuwa siku 3 za SRM...Zikitokea tena, lazima MJ1 atarudi analia machozi ya furaha hapa JF!!
 
Mi sikumbuki kama nlishawahi muuliza.... Siku alipokuja kulala kwangu kwa mara ya kwanza hajawahi kuondoka mpaka leo.....

hahahahahaa...........zile enzi unavizia akipita migombani anachagua bega.............au kwenye zile party za mbege unaanda vijana
 
hahahahahaa...........zile enzi unavizia akipita migombani anachagua bega.............au kwenye zile party za mbege unaanda vijana
Mnakuwa mmeshakubaliana na binti, lakini unapomkamata na kutimua naye anapiga kelele kijanja huku anakunong'oneza "Ongeza spidi watatukamata" khaaa!

Ngoja nirudi kwenye nyumba ndogo ya Kaizer.
 
RR hata wakujaribu nae hajapatikana, ngoja niendelee kusubiri
Nashindwa kabisa kuamini... ila nakutakia kila la heri. Hakuna raha kama ile ya kua na uhakika wa kwamba huyu hapa ndie yule mtu nilikua nasubiri. Na kua makini sababu anaweza kua ni tu uko nae muda mrefu ila tu kwa neno fulani au tendo fulani unaona kwamba ndie uliekua unamsubiri... then usisite tena, we mwambie tu.
 
]Nashindwa kabisa kuamini...[/COLOR] ila nakutakia kila la heri. Hakuna raha kama ile ya kua na uhakika wa kwamba huyu hapa ndie yule mtu nilikua nasubiri. Na kua makini sababu anaweza kua ni tu uko nae muda mrefu ila tu kwa neno fulani au tendo fulani unaona kwamba ndie uliekua unamsubiri... then usisite tena, we mwambie tu.
Hapo kwenye bluu inabidi uamini tu naendelea kumuomba Mungu anionyeshe njia, kwenye red naomba iwe hivyo kwa kweli
 
Back
Top Bottom