TANZIA Silvester Masinde, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA afariki Dunia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho imeeleza kwamba Mzee Masinde ambaye pia alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Chama hicho amefariki Dunia.

Haikutajwa sababu ya kifo chake wala mahali alipofia.

Silvester Masinde alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema.

FB_IMG_1678866679289.jpg

1678869517398.png

Apumzike kwa Amani .
 
Bodi ya wadhamini si ndio wanaohojiwa sasa mahakamani kwenye kesi ya Mdee na wenzake na hii bodi nilisikia ni shahidi muhimu sana, nimejaribu kutoka nje ya box

Mungu ampumzishe mahali pema vita amevipiga na mwendo amemaliza.
Kama mambo ya kisheria huyajui kaa kimya angalau utunze heshima yako. Hata leo ukitaka kuishitaki CCM ni lazima uishitaki bodi ya wadhamini wa CCM maana wao ndiyo kwa niaba ya wanachama wanasimamia maslahi ya chama.

Sasa Bodi inakuwaje shahidi kwenye kesi ambayo bodi yenyewe ndiyo inayoshitakiwa. Umo ndani ya boksi ila akili zako zinakutuma kwamba umetoka nje ya boksi.

Pumzika kwa amani Kamanda Masinde!!
 
Halima ni dada yake Mshana 🤣
 
Sikutaka kumjibu nilimpuuza .
 
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho imeeleza kwamba Mzee Masinde ambaye pia alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Chama hicho amefariki Dunia.

Haikutajwa sababu ya kifo chake wala mahali alipofia.

Silvester Masinde alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema.

View attachment 2552211
View attachment 2552233

Apumzike kwa Amani .
Kumbe hata Chadema huwa wanakufa!
Je!
Na huyu tumuite "Kayafa" au "Mwendazake"

Tunapowaambia Chadema kwamba kila Nafsi itayaonja mauti hapa Duniani .

Muwe mnaelewa hilo lipo na halikwepeki.

Mungu kafanya yake!
R.I.P mzee Masinde ila umetuachia ma-taahira wa kisiasa wengi sana hapa Duniani.
 
Masinde amekufa lakini hakuwahi kuua watu .
 
Back
Top Bottom