Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Poleni CHADEMA kwa kifo cha Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini.Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho imeeleza kwamba Mzee Masinde ambaye pia alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Chama hicho amefariki Dunia.
Haikutajwa sababu ya kifo chake wala mahali alipofia.
Silvester Masinde alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema.
View attachment 2552211
View attachment 2552233
Apumzike kwa Amani .
Pole kwa familia na jamaa wote