Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Umepaniki sana subiri muda si mrefu upepo utapuliza nyeti za kuku zitabaki waziKama mambo ya kisheria huyajui kaa kimya angalau utunze heshima yako. Hata leo ukitaka kuishitaki CCM ni lazima uishitaki bodi ya wadhamini wa CCM maana wao ndiyo kwa niaba ya wanachama wanasimamia maslahi ya chama.
Sasa Bodi inakuwaje shahidi kwenye kesi ambayo bodi yenyewe ndiyo inayoshitakiwa. Umo ndani ya boksi ila akili zako zinakutuma kwamba umetoka nje ya boksi.
Pumzika kwa amani Kamanda Masinde!!