Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama mambo ya kisheria huyajui kaa kimya angalau utunze heshima yako. Hata leo ukitaka kuishitaki CCM ni lazima uishitaki bodi ya wadhamini wa CCM maana wao ndiyo kwa niaba ya wanachama wanasimamia maslahi ya chama.Bodi ya wadhamini si ndio wanaohojiwa sasa mahakamani kwenye kesi ya Mdee na wenzake na hii bodi nilisikia ni shahidi muhimu sana, nimejaribu kutoka nje ya box
Mungu ampumzishe mahali pema vita amevipiga na mwendo amemaliza.
Bora ungekaa kimya kufucha uhayawani wako!Bodi ya wadhamini si ndio wanaohojiwa sasa mahakamani kwenye kesi ya Mdee na wenzake na hii bodi nilisikia ni shahidi muhimu sana, nimejaribu kutoka nje ya box
Mungu ampumzishe mahali pema vita amevipiga na mwendo amemaliza.
Halima ni dada yake Mshana 🤣Bodi ya wadhamini si ndio wanaohojiwa sasa mahakamani kwenye kesi ya Mdee na wenzake na hii bodi nilisikia ni shahidi muhimu sana, nimejaribu kutoka nje ya box
Mungu ampumzishe mahali pema vita amevipiga na mwendo amemaliza.
Sikutaka kumjibu nilimpuuza .Kama mambo ya kisheria huyajui kaa kimya angalau utunze heshima yako. Hata leo ukitaka kuishitaki CCM ni lazima uishitaki bodi ya wadhamini wa CCM maana wao ndiyo kwa niaba ya wanachama wanasimamia maslahi ya chama.
Sasa Bodi inakuwaje shahidi kwenye kesi ambayo bodi yenyewe ndiyo inayoshitakiwa. Umo ndani ya boksi ila akili zako zinakutuma kwamba umetoka nje ya boksi.
Pumzika kwa amani Kamanda Masinde!!
kama ni shahidi muhimu kwahiyoBodi ya wadhamini si ndio wanaohojiwa sasa mahakamani kwenye kesi ya Mdee na wenzake na hii bodi nilisikia ni shahidi muhimu sana, nimejaribu kutoka nje ya box
Mungu ampumzishe mahali pema vita amevipiga na mwendo amemaliza.
Kumbe hata Chadema huwa wanakufa!Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho imeeleza kwamba Mzee Masinde ambaye pia alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Chama hicho amefariki Dunia.
Haikutajwa sababu ya kifo chake wala mahali alipofia.
Silvester Masinde alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema.
View attachment 2552211
View attachment 2552233
Apumzike kwa Amani .
RIP mzee MasindeTaarifa iliyosambazwa na Chama hicho imeeleza kwamba Mzee Masinde ambaye pia alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Chama hicho amefariki Dunia.
Haikutajwa sababu ya kifo chake wala mahali alipofia.
Silvester Masinde alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema.
View attachment 2552211
View attachment 2552233
Apumzike kwa Amani .
Masinde amekufa lakini hakuwahi kuua watu .Kumbe hata Chadema huwa wanakufa!
Je!
Na huyu tumuite "Kayafa" au "Mwendazake"
Tunapowaambia Chadema kwamba kila Nafsi itayaonja mauti hapa Duniani .
Muwe mnaelewa hilo lipo na halikwepeki.
Mungu kafanya yake!
R.I.P mzee Masinde ila umetuachia ma-taahira wa kisiasa wengi sana hapa Duniani.