TANZIA Silvester Masinde, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA afariki Dunia

Poleni CHADEMA kwa kifo cha Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini.

Pole kwa familia na jamaa wote
 
Masinde amekufa lakini hakuwahi kuua watu .

Tunapitia mule mule!
Ujumbe umeupata hata kama umeshupaza shingo lako!

Cha msingi muelewe kuacha kudhihaki vifo vya wenzenu wakati nyote ni wapitaji hapa Duniani.

Mlidandia siasa bila elimu ya siasa!
Mkageuza siasa kuwa mitaji ya kupatia fedha bila elimu.
Mkanunua vyeti feki kila kona!

Mkiambiwa mnajifanya kujifucha kwenye mgongo wa Demokrasia...haya sasa mmeletewa na ushoga huu hapa na umeanzia mashuleni huko Kilimanjaro hadi waziri kuamua kuunda tume

Bosi wenu nae kaamliwa arudi akakabidhi ofisi badala ya kuondoka bila kukabidhi majukumu yake kule kule kwa Amstrong
.
 
Alilalamika kwamba CDM imemtelekeza, hasa baada ya tukio la mwanza wakati Mbowe anahutubia akiwa amelewa, akamuonya "acha hotuba za namna hiyo".

Alikuwa anasema chama kinavuna mabilioni lakini yanaliwa na wachache.

Alikuwa shahidi muhimu ambaye alijiandaa kuiambia mahakama kwamba ubunge wa akina mdee ni halali, naona wajanja wamemuwahi ili wasiaibike
 
Pole sana kwa Chadema na watanzania wote wapenda demokrasia na maendeleo!
 
Aisee Polen sana!!Kumbe Chadema nao wanakufa?Kwa hiyo Mzee Masinde naye ni mwendazake Sasa.Mm nilifikir Ni Magufuli tu.
 
Polisi washindwe wenyewe hapo. Ushahidi upo waxi kabisa wa kilichotokea kwa mzee wetu huyu, damu yake haitaenda bure
 
Apumzike kwa amani mzed wetu Masinde.. Mchango wake ndani ya chama daima utakumbukwa
 
Kweli
Kweli wewe hamnazo kabisa unafikiri kuna mtu atakayekuja ya kufichua maovu ya huyo mzee?Hakuna kwa sababu hakuna baya alilofanyia watu lakini jamaa yule wa Chato kila siku watu wanapost kuhusu yeye.
 
Kweli

Kweli wewe hamnazo kabisa unafikiri kuna mtu atakayekuja ya kufichua maovu ya huyo mzee?Hakuna kwa sababu hakuna baya alilofanyia watu lakini jamaa yule wa Chato kila siku watu wanapost kuhusu yeye.
Kwa sababu hakuwa na mzaha na wezi wa raslimali za nchi hii.
Wanaomsema vibaya ndio wanaoifilisi nchi hii kwa sasa!
Wanaomsema vibaya ndio kina mbowe walio lewa asali !

Wanaomsema vibaya ni vyeti fake na watumbuliwa wake!

Angalia kama kuna mtu mstaarabu wa nchi hii anayensema vibaya zaidi ya nyie viraka mlioko benchi.

Lakin yote ya yote ni kwamba mwisho wa siku wote mnakufa sio?
 

Mashahidi wa Chadema ni wawili tu acha uongo wako. Mmekaa kimbea Sana.
 
Hivi kumbe na CHADEMA huwa mnakufa??

Sasa tunazikwa naye wapi?
 
Hongera kwa kuwaza nje ya box
 

Pole kwa familia, CHADEMA na watanzania wote

Alale salama mzee Masinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…