Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Umepaniki sana subiri muda si mrefu upepo utapuliza nyeti za kuku zitabaki waziKama mambo ya kisheria huyajui kaa kimya angalau utunze heshima yako. Hata leo ukitaka kuishitaki CCM ni lazima uishitaki bodi ya wadhamini wa CCM maana wao ndiyo kwa niaba ya wanachama wanasimamia maslahi ya chama.
Sasa Bodi inakuwaje shahidi kwenye kesi ambayo bodi yenyewe ndiyo inayoshitakiwa. Umo ndani ya boksi ila akili zako zinakutuma kwamba umetoka nje ya boksi.
Pumzika kwa amani Kamanda Masinde!!
Alitakiwa kutoa ushahidimmeanza
kama ni shahidi muhimu kwahiyo
Hapo umemaliza mchezo mzima wa makasirikoNa nyie huwa mnakufa?
Sitashangaa zikianza propaganda kama za lisu. ati kwamba lisu alishambuliwa na wanachadema wenzakeAlitakiwa kutoa ushahidi
Huyu na Bob ndo walisababisha Chadema ikapata mvuto kanda ya ziwa lakini ni kama mchango wake hautambuliki sana. Ameumaliza mwendo, apumzike kwa amani
Uongo utakudhalilisha mno ! Baraza la Wadhamini la Chadema kwenye kesi ya Halima Mdee na Wasaliti wenzake linawakilishwa na Ruth Mollel na Dr Azavel LwaitamaAlitakiwa kutoa ushahidi
Mungu anawaona ninyi watu, hivi kweli kwenye Jambo muhimu kama hilo mwenyekiti wa Baraza anaachwa wakati yeye ndio anajua A to Z. Muda si mrefu nyeti zitabaki wazi subiri huu upepo uendelee kuvumaUongo utakudhalilisha mno ! Baraza la Wadhamini la Chadema kwenye kesi ya Halima Mdee na Wasaliti wenzake linawakilishwa na Ruth Mollel na Dr Azavel Lwaitama
Hata rais wako mama Samiah anamsema vibaya.Halafu nikuulize hao watu wanaolawiti watoto wao ndio wastaarabu?Yaani upumbavu mnaowafanyia watoto wenu wa kuwazaa ndio mlitaka Watanzania tuishi nao pumbavu.Mnajifanya mna akili kumbe ni umbumbumbu tu unawatawala.Historia ya Magufuri aliitengeneza yeye kama ni kupendwa na baadhi ya watu basi ni yeye aliitengeneza akiwa hai,na kama ni kuchukiwa na baadhi ya Watanzania basi yeye ndiye aliyeasisi kuchukiwa.Rais ukiwa mfuata sheria utatenda kwa mujibu wa sheria za nchi na muda wako ukiisha au ukifa hakuna atakayepoteza muda wa kukuandika vibaya kwa sababu wakati ukiwa madarakani ulifuata na kuitimiza sheria,haukuongozwa na kichwa chako.Kwa sababu hakuwa na mzaha na wezi wa raslimali za nchi hii.
Wanaomsema vibaya ndio wanaoifilisi nchi hii kwa sasa!
Wanaomsema vibaya ndio kina mbowe walio lewa asali !
Wanaomsema vibaya ni vyeti fake na watumbuliwa wake!
Angalia kama kuna mtu mstaarabu wa nchi hii anayensema vibaya zaidi ya nyie viraka mlioko benchi.
Lakin yote ya yote ni kwamba mwisho wa siku wote mnakufa sio?
Watu wazuri hawafi!Apumzike kwa amani Mzee Masinde. Hakika amepambana kuitafuta haki maishani mwake. Alipoachia, wengine tuendeleze.
Mungu awajalie neema ya kuyakubali mapenzi ya Mungu wanafamilia.
Watu wazuri hawafiRIP mzee wetu.
Ni kweli kabisa, kwani ulitakaje labda?Watu wazuri hawafi
Ila wenye dhambi wanakufa mdomo waziKuna watu walituaminisha wanaokufa ni wenye dhambi tu aiseee.
R.I.P
Ila wenye dhambi wanakufa mdomo wazi
Nani kakuulizaHalima ni dada yake Mshana 🤣