TANZIA Silvester Masinde, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA afariki Dunia

CHADEMA hawawezi kutaja sababu ya kifo chake kwa sababu walimtelekeza mzee wa watu
 

Kifo cha JPM kwa mbwebwe zote mlituambia sababu za kifo- hiki mmekaa kimya. Hii inathibitisha kuwa hamkuwa mnajua hata mzee huyu alikuwa Amelazwa na kwa maradhi gani- WANAFIKI WAKUBWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…