TANZIA Silvio Berlusconi afariki dunia, aliongoza Serikali tatu za Italia na kumiliki timu ya AC Milan

Allifanikiwa kuwaweka ndugu zake pale B.O.T ?
 
Sawa msemaji wa familia usiyetambulika.
 
Under Berlusconi, AC Milan won 7 Serie A titles and 5 UCL champions; and Monza also promoted to Serie A in 2022.

Berlusconi proved old habits died hard last year after promising his Monza players a "bus full of prostitutes" if they beat AC Milan or Juventus.
 
Moja ya watu corrupt kuwahi kuishi kwenye hii safari.
Na uhalibifu wao mkubwa wa agenda tatami za masonic Lodge. Agenda zao huwa haziwekwi wazi.

Italia, chini ya P2 Grand Lodge, huyu mzee alifanya mambo mengi ya hovyo sana. Scandals zake zilikuwa zinazimwa maana alimiliki media kwa kiasi kikubwa.

Tunaombea roho yake ipumzike kwa amani. Kweli hakuna anayeishi milele kwenye hii dunia
 
Huu Ni uzushi
 
Sifa za huyu jamaa akivuruga kwenye siasa anawekeza kwenye timu yake na waitali wanavyopenda Soka wanamchagua Tena.
Huyu ana tabia kama za Trump ,kwanza mlengo wa kulia kwenye siasa.Hapendi wahamiaji haramu kutoka Africa .Wale wanaovuka Bahari,alifanya makubaliano na Khadafi wahamiaji hawakuweza kupitia pwani ya Libya .Pia ni mfanya biashara, anapenda mademu na pia hana break kwenye kuongea,anaongea lolote lile.
 
Uko vzr sna kwenye siasa za kimataifa
 
Anao watoto watano,wa kike watatu na wa kiume wawili.Tena binti yake wa kwanza ndo Rais wa kampuni ya baba Yake inayoitwa Finiinvest ,yule wa kiume mkubwa yeye ni boss kwenye kampuni za Media.
Aisee kumbe,maana kwa maisha aliyokuwa anaishi unaweza kudhani ni hana hata familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…