TANZIA Silvio Berlusconi afariki dunia, aliongoza Serikali tatu za Italia na kumiliki timu ya AC Milan

Huyu namfananisha na Amatus Liyumba. Every eligible P bongo jamaa alimega. Lakini ngwegwe mkono wa nyani ukamuondoa.

King Kong III

Daaah Liyumba alitafuna Mademu hasa.
 
FyKO6s9X0AAw_dK.jpeg
 
Silvio aliwahi kumiliki team ya AC Milan. Kwa kipindi chake AC Milan ilikuwa ya moto.

======

Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86. Nguli huyo kwenye tasnia ya habari ameongoza Serikali tatu za Italia kutoka mwaka 1994 mpaka 2011 ambapo chama chake cha Forza kipo kwenye muungano unaoongoza nchi kwa sasa.

Berlusconi aliweza kurejesha jina lake kwenye siasa pamoja na kukumbwa na kashfa za ngono, rushwa pamoja na ukwepaji kodi.

Silvio amefariki katika hospitali ya Raffaele mjini Milan ambapo amekaa wiki sita akitibiwa maambukizi kwenye mapafu ambapo kabla hajapokelewa alikuwa pia na ugonjwa wa kansa ya damu.

Amezaliwa jijini Milan mwaka 1936 kwenye familia ya kipato cha kati na alijikita kwenye uwekezaji wa majengo wakati akianza biashara kabla ya kwenda kuanzisha kampuni ya Mediaset, chombo binafsi kikubwa zaidi cha habari nchini Italia, pia akamiliki timu ya AC Milan kuanzia mwaka 1986 mpaka 2017.

Chama cha Forza Italia kilianzishwa mwaka 1993 na mwaka mmoja baadae Berlusconi akawa waziri mkuu wa kwanza kupitia chama hicho bila kuwa na rekodi yoyote ya kuendesha ofisi ya Serikali. Silvio alilazimika kujiuzulu mwaka 2011 kutokana na mgogoro wa madeni

Mzee wa totoz🤣🤣🤣🤣
 
Mzee aliipenda sana Dunia na Mambo yake yote.

:Nilimpenda kwa Elimu.
:Ushawishi wake mkubwa.
:Kumiliki Timu kubwa zaidi Italy na ULAYA.
:Utajili.

Sikupendazwa na Tabia zake za Ajabu kama.
RUSHWA.
Scandal nyingi mno.
Wanawake. Nk.
Binafsi nilimpenda kwa confidence yake katika kuanza biashara na kusimama imara,hata baada ya mambo yake na mahakama still akarudi tena.Kuanguka na kuinuka tena.
 
Kuhusu kuwatembezea nyie mademu liboloz unasemaje?
 
Silvio aliwahi kumiliki team ya AC Milan. Kwa kipindi chake AC Milan ilikuwa ya moto.

======

Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86. Nguli huyo kwenye tasnia ya habari ameongoza Serikali tatu za Italia kutoka mwaka 1994 mpaka 2011 ambapo chama chake cha Forza kipo kwenye muungano unaoongoza nchi kwa sasa.

Berlusconi aliweza kurejesha jina lake kwenye siasa pamoja na kukumbwa na kashfa za ngono, rushwa pamoja na ukwepaji kodi.

Silvio amefariki katika hospitali ya Raffaele mjini Milan ambapo amekaa wiki sita akitibiwa maambukizi kwenye mapafu ambapo kabla hajapokelewa alikuwa pia na ugonjwa wa kansa ya damu.

Amezaliwa jijini Milan mwaka 1936 kwenye familia ya kipato cha kati na alijikita kwenye uwekezaji wa majengo wakati akianza biashara kabla ya kwenda kuanzisha kampuni ya Mediaset, chombo binafsi kikubwa zaidi cha habari nchini Italia, pia akamiliki timu ya AC Milan kuanzia mwaka 1986 mpaka 2017.

Chama cha Forza Italia kilianzishwa mwaka 1993 na mwaka mmoja baadae Berlusconi akawa waziri mkuu wa kwanza kupitia chama hicho bila kuwa na rekodi yoyote ya kuendesha ofisi ya Serikali. Silvio alilazimika kujiuzulu mwaka 2011 kutokana na mgogoro wa madeni

Mwamba huyu hapa

Namkubari sana mzee wa totoz
 
Bongo pagumu sana kutoka siyo rahis kihivyo, hata ukitoa kafara unaishia kukamata million 50 tu madaf halafu mashart kibao, kutatuliwa rinda na sangoma, kunya njia panda kila siku, kulala chooni (choo cha shimo)
Aahhaaaaa

Bongo nyoso
 
Back
Top Bottom