Tetesi: Simalenga alipanga kumtoa Heri UVCCM

Kuna msemo unasema "usichezee kazi bali chezea mshahara".Aliyezoea kupewa/ kuomba hawezi kubangaiza.Njooni huku mtaani tubangaize.Sisi veterans.Sisi sugu.Njaa siyo jambo la mzaha .Wote hao watapiga goti muda si mrefu.
 
Simalenga ana miaka 50,hivi UVCCM ni miaka mingapi kua mwanachama?

Hilo lichama bwana!
 
Kwani Simalenga ana umri gani?......... au ndio yale yale ya akina " kibabu" Sadifa wa Zanzibar!!!
 
Simalenga ni Mkurugenzi wa mahusiano na Itifaki pale Clouds media......yaani ni boss wa akina Ngoma hana njaa kabisa huyo anavuta takribani 8.5mil per month!
 
Kaole alikuwa anaitwa Dimela aka Mr. Dimela, Metu ni jamaa mwingine tu..

Sikufahamu kama jamaa ni UVCCM, maana kwenye page zake alikua anasifia teuzi za watu nk bila kujionesha kuwa ni UVCCM
 
umri wake na matendo yake ni kama Le Mutuz
 
Simalenga ni Mkurugenzi wa mahusiano na Itifaki pale Clouds media......yaani ni boss wa akina Ngoma hana njaa kabisa huyo anavuta takribani 8.5mil per month!
8.5m clouds ?
Wewe ndio umekariri......au ni wivu tu unakusumbua!

Hela ndefu wewe unaijua Clouds au unaisikia tu?!!
Ile clouds ya boss Sheba ? Na HR kitoi wampe 8.5m
Hivi unadhani salary ya 8.5M per month ni sawa na kwenda msalani?? Hiyo ni pesa ndefu sana kwa Mawingu, Acha kukalili maneno ya vijiweni
Hahahaha
 
Kitu kama bado PR wa mjengoni pale CMG
 
issue sio 8.5M anaweza kuwa na njaa tu kama alizoea mapesa ya kelelee kelele kutoka huko LB7 club ya wajinga.
Simalenga ni Mkurugenzi wa mahusiano na Itifaki pale Clouds media......yaani ni boss wa akina Ngoma hana njaa kabisa huyo anavuta takribani 8.5mil per month!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…