Kabisa yaani,watu wako field wanatafuta kura na hiyo picha wametambulishwa bungeni kama kamati maalumu ya AMINIA 255 na Simalenga ndo mwenyekiti na hao watu wako kwenye Midia kubwa sana kwa ajili kutafuta kura kuanzia serikali za mitaa nyuma ya Aminia TanzaniaWatu wako field kutafuta kura nyie mnakuja na porojo
Kabisa bro na amekua kiunganishi kikubwa sana kutafuta mahojiano ya viongozi wakubwa iwe serikalini na nje ya serikali hasa viongozi wa kitaifa na vyama,na amesoma sana tu na hata wakati akiwa Kaole ndo alikua kiongozi pale.Simalenga ni Mkurugenzi wa mahusiano na Itifaki pale Clouds media......yaani ni boss wa akina Ngoma hana njaa kabisa huyo anavuta takribani 8.5mil per month!
Sio kua ni uvccm hapana ila ni kiongozi ndani ya lumumba pale na mfanyakazi clouds kama mkuu wa mahusiano na itifaki,Pale kaole Mr Dimela lilikua jina la uigizaji tu.Kaole alikuwa anaitwa Dimela aka Mr. Dimela, Metu ni jamaa mwingine tu..
Sikufahamu kama jamaa ni UVCCM, maana kwenye page zake alikua anasifia teuzi za watu nk bila kujionesha kuwa ni UVCCM
Kwa mawingu huo ni mshahara mdogo sana ndugu.Ogopa kabisa kuhusu mawingu na mishahara ya wafanyakazi wake pale,mfano mdogo tu nikupatie,unaijua choicefm ni radio ndani clouds midia group amewai kuojiwa gigy money wakati ameajiriwa pale choice na akiwa bado hajawa star alikua akilipwa milion 1.5 sasa kwa viongozi na watangazaji wakubwa clouds unadhani wanalipwa madafuHivi unadhani salary ya 8.5M per month ni sawa na kwenda msalani?? Hiyo ni pesa ndefu sana kwa Mawingu, Acha kukalili maneno ya vijiweni
Kwanza kwa mishahara pale clouds hiyo milon 8.5 ni salary ya kawaida tuWewe ndio umekariri......au ni wivu tu unakusumbua!
Hela ndefu wewe unaijua Clouds au unaisikia tu?!!
nani kakwambia?Simalenga ni team Membe kama hamjui
Mbona haakisi hiyo figure kudandia madaladala pale mbezi LuisSimalenga ni Mkurugenzi wa mahusiano na Itifaki pale Clouds media......yaani ni boss wa akina Ngoma hana njaa kabisa huyo anavuta takribani 8.5mil per month!
Kwanza kwa mishahara pale clouds hiyo milon 8.5 ni salary ya kawaida tu
Muziki unalipa zaidi ya utangazaji lkn hawezi kuwa na malipo ya chini hata hizo figure zinawezekana tu,Vanessa alikua anatangaza choice fm na part time MTV. watangazaji wa radio kubwa kama clouds mtu kua milion 8.5 kawaida tu.sema tunapenda kulinganisha na viredio vinayoaanzaMkuu katafute wajinga uwaongopee!
hakuna mshahara kama huo kwenye biashara ya Media hasa Redio na TV.
Na ukitaka kujua hili tafuta interview ya Vannessa akisimulia maisha yake ya Redio kuanzia Bongo mpaka South na hata ya usanii ni njaa tu hakuna hiyo hela.
Katafute wa kuwadanganya,,,,,,,,,,,anawaingizia kiasi gani Clouds kwa mwezi hadi apewe mshahara huo??Muziki unalipa zaidi ya utangazaji lkn hawezi kuwa na malipo ya chini hata hizo figure zinawezekana tu,Vanessa alikua anatangaza choice fm na part time MTV. watangazaji wa radio kubwa kama clouds mtu kua milion 8.5 kawaida tu.sema tunapenda kulinganisha na viredio vinayoaanza
Ha ha ha ha... Kaka mbona unakua muongo namna hii?? Hakuna kitu kama hicho Salary ya 8.5M per Month kwa media kama Mawingi haiwezekani...Kwanza kwa mishahara pale clouds hiyo milon 8.5 ni salary ya kawaida tu
[emoji23][emoji23][emoji23]ila bongo bwana kuna wajinga sanaKumbe UVCCM imevunjwa 2months ago na Meko mlitaka kumpindua Heri! Ndo maana kumetulia sana humu maana mmefukuzwa Lumumba.
Ndugu yangu Simalenga naona umetimuliwa Lumumba ndiyo maana sikuoni hapa Falcon kwenye supu. Mlikuwa na kelele sana UVCCM tulieni sasa!
Naona mmeamua kuja na Aminia255
Simalenga bwana.. Meko kasema hataki UVCCM maana mnaleta migogoro kwenye chama.
Heri na wewe kumbe umepigwa marufuku kuhudhuria vikao vya kamati kuu?
Tulieni sasa maana mlikuwa na kelele sana humu. Haya bosi alikuwa anawapa hela ya bando Simalenga kafukuzwa Lumumba. Mtaelewa tu kidogo kidogo.
#Kigogo2014
View attachment 1204988
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwa mawingu huo ni mshahara mdogo sana ndugu.Ogopa kabisa kuhusu mawingu na mishahara ya wafanyakazi wake pale,mfano mdogo tu nikupatie,unaijua choicefm ni radio ndani clouds midia group amewai kuojiwa gigy money wakati ameajiriwa pale choice na akiwa bado hajawa star alikua akilipwa milion 1.5 sasa kwa viongozi na watangazaji wakubwa clouds unadhani wanalipwa madafu
We jamaa ujue unaongea na watu wazima sawa?Kwanza kwa mishahara pale clouds hiyo milon 8.5 ni salary ya kawaida tu
Muziki unalipa zaidi ya utangazaji lkn hawezi kuwa na malipo ya chini hata hizo figure zinawezekana tu,Vanessa alikua anatangaza choice fm na part time MTV. watangazaji wa radio kubwa kama clouds mtu kua milion 8.5 kawaida tu.sema tunapenda kulinganisha na viredio vinayoaanza
Muziki unalipa zaidi ya utangazaji lkn hawezi kuwa na malipo ya chini hata hizo figure zinawezekana tu,Vanessa alikua anatangaza choice fm na part time MTV. watangazaji wa radio kubwa kama clouds mtu kua milion 8.5 kawaida tu.sema tunapenda kulinganisha na viredio vinayoaanza
Eeeeeh bwana ndio maana kuna uzi wa xspy kule sijawaona kutia team kumbe habari ndio hiyo.Kumbe UVCCM imevunjwa 2months ago na Meko mlitaka kumpindua Heri! Ndo maana kumetulia sana humu maana mmefukuzwa Lumumba.
Ndugu yangu Simalenga naona umetimuliwa Lumumba ndiyo maana sikuoni hapa Falcon kwenye supu. Mlikuwa na kelele sana UVCCM tulieni sasa!
Naona mmeamua kuja na Aminia255
Simalenga bwana.. Meko kasema hataki UVCCM maana mnaleta migogoro kwenye chama.
Heri na wewe kumbe umepigwa marufuku kuhudhuria vikao vya kamati kuu?
Tulieni sasa maana mlikuwa na kelele sana humu. Haya bosi alikuwa anawapa hela ya bando Simalenga kafukuzwa Lumumba. Mtaelewa tu kidogo kidogo.
#Kigogo2014
View attachment 1204988