Simama upande wa Lulu

Simama upande wa Lulu

Nimesoma udaku humuhumu kwamba kakutwa na mpenzi wake ana Hirizi inapumua kwahiyo imekuwa ni shida kweli

Mkuu, wewe ukimkuta mpenzi wako ana dude kama lile waktai wewe huamini katika ushetani, utavumilia? Mimi nadhani ama aachane na ulozi amtumaini Mungu kwa sababu Mungu wa Kwlei hashindwi kum komboa mtu kutoka katika aina zote za laana, au aendelee na shsetani huku akifahmu kwamba shetani hawezi kumtoa shetani mwenzake au la basi ameamua kufitinisha ufalme wake jambo ambalo shetani kama mkuu wa giza hana utashi huo.

Kama atamtafuta Mungu na apate mwongozo sahihi kutoka Watumishi wa Mungu wa Kwlei tatizo lake litakuwa Historia. Lakini akienda kwa makanjanja, na nia yake isiwe kumwishia Mungu bali kutafuta tu mafanikio, hana issue. Aache kumtumia Mungu kama mganga wa kienyeji. Mungu anakanuni zake na siyo kama waganga wa tiba mbadala. Mungu ni mtaktifu wala hachangamani na dhambi.

Kama anaamua njia pana, njia ambayo wapitayo ni wengi, ya kusali na huku anafanya uasi kwa Mungu, basi afadhali achague Sangoma mmoja amuoe basi.
 
Binti anadhani anamlinda mpenziwe asipokonywe kumbe anabeba majini na kuyapeleka nyumbani.

binti gagula huyu.
kuna siku Majizo ataamka usingizini atajikuta na yeye yuko juu ya ungo na huyu bibti gagula ndiyo kashika usukani.
 
Sijaelewa hii thredi inazungumzia nini!

Nikadhani inaongelea mwendelezo wa kesi yake ya mauaji.
 
Binti anadhani anamlinda mpenziwe asipokonywe kumbe anabeba majini na kuyapeleka nyumbani.

binti gagula huyu.
kuna siku Majizo ataamka usingizini atajikuta na yeye yuko juu ya ungo na huyu bibti gagula ndiyo kashika usukani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu weka hata kapicha kake, hata zikiwa mbili tatu hatutojutia mbs... post nzuri kama hio isindikizwe na picha
Screen+Shot+2014-08-10+at+4.04.16+PM.png

[emoji120] [emoji120] [emoji817] [emoji817] [emoji115]

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Kwa utaalamu ulionao Mshana je hio inawezekana ? Kama hivi ni ndio Je inakazi gani ktk maisha ya mwanadamu na mazingira yanayomzunguka ?
Uchawi wa kweli maranyingi hauhusishwi hayo madude yanayopumua na kwakweli mengi huwa ni utapeli
 
Nimesoma udaku humuhumu kwamba kakutwa na mpenzi wake ana Hirizi inapumua kwahiyo imekuwa ni shida kweli
aache kuroga umaarufu kaupata utotoni Ila tuseme ukweli kaanza kuliwa mapema pia..wenziwe waliotulia kina imani,Diana Kimaro mbona kimyaa tu!

yule ana damu ya kihaya na kichaga jumlisha hapo mpenda pesa na mpenda chini[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] lazima aroge tuuu
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Uchawi wa kweli maranyingi hauhusishwi hayo madude yanayopumua na kwakweli mengi huwa ni utapeli
Ila kiukweli sijawahi kusikia mahusiano yanavunjika kwa suala kama la hirizi .. Kwa wanaojua mapenzi au waliowahi kupenda, watakubaliana na Mimi.
Labda hiyo ni kutafutiwa sababu. Unless wale wenye wasiwasi na mazingira waliyonayo,ndiyk baadhi huenda kwa waganga na kuambiwa, anayesababisha unashindwa labda kuchepuka,au kufanya jambo fulani,ni mwanamke wako au mwanaume wako.
 
Back
Top Bottom