Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma udaku humuhumu kwamba kakutwa na mpenzi wake ana Hirizi inapumua kwahiyo imekuwa ni shida kweli
La haulaaaaaa. 😳 😳Nimesoma udaku humuhumu kwamba kakutwa na mpenzi wake ana Hirizi inapumua kwahiyo imekuwa ni shida kweli
Mshana ebu tuelezee juu ya ilo likitu linalopumuaNimesoma udaku humuhumu kwamba kakutwa na mpenzi wake ana Hirizi inapumua kwahiyo imekuwa ni shida kweli
[emoji115] [emoji120] [emoji111] [emoji817]Nimekuelewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binti anadhani anamlinda mpenziwe asipokonywe kumbe anabeba majini na kuyapeleka nyumbani.
binti gagula huyu.
kuna siku Majizo ataamka usingizini atajikuta na yeye yuko juu ya ungo na huyu bibti gagula ndiyo kashika usukani.
Mkuu weka hata kapicha kake, hata zikiwa mbili tatu hatutojutia mbs... post nzuri kama hio isindikizwe na picha
[emoji120] [emoji120] [emoji817] [emoji817] [emoji115]
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Kwa utaalamu ulionao Mshana je hio inawezekana ? Kama hivi ni ndio Je inakazi gani ktk maisha ya mwanadamu na mazingira yanayomzunguka ?Binafsi sikuliona Ila wanasema eti ni hirizi
Uchawi wa kweli maranyingi hauhusishwi hayo madude yanayopumua na kwakweli mengi huwa ni utapeliKwa utaalamu ulionao Mshana je hio inawezekana ? Kama hivi ni ndio Je inakazi gani ktk maisha ya mwanadamu na mazingira yanayomzunguka ?
aache kuroga umaarufu kaupata utotoni Ila tuseme ukweli kaanza kuliwa mapema pia..wenziwe waliotulia kina imani,Diana Kimaro mbona kimyaa tu!Nimesoma udaku humuhumu kwamba kakutwa na mpenzi wake ana Hirizi inapumua kwahiyo imekuwa ni shida kweli
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji85] [emoji85] [emoji85]aache kuroga umaarufu kaupata utotoni Ila tuseme ukweli kaanza kuliwa mapema pia..wenziwe waliotulia kina imani,Diana Kimaro mbona kimyaa tu!
yule ana damu ya kihaya na kichaga jumlisha hapo mpenda pesa na mpenda chini[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] lazima aroge tuuu
Ila kiukweli sijawahi kusikia mahusiano yanavunjika kwa suala kama la hirizi .. Kwa wanaojua mapenzi au waliowahi kupenda, watakubaliana na Mimi.Uchawi wa kweli maranyingi hauhusishwi hayo madude yanayopumua na kwakweli mengi huwa ni utapeli