Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Azam anavocheza mapinduzi kapu ni tofauti na ligi kuu
 
Yani Simba tunapaki basi dakika bado nyingi hivi?


Hawatucheleweshi hawa.
 
na hii inafaiada sana jwa azam kwasababu wangecheza rough ya pili ingewekwa penalty tena
Ni faida kwetu Simba.

Tunaongoza, lakini pia tuna mashindano muhimu inatusubiri. So vema kumuacha mchezaji kwa nia ya kuchezewa foul kwa faida ya kadi kwa mchezaji wa timu pinzani.

Kama ni kucheza foul watacheza tu kwa wachezaji wengine.
 
Azam inafanya sub kwa vurugu....

Mudathiri anaingia na ajibu anatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…