Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Kila nikimuona kibu naamini huku duniani kuna uchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngekewa tu.Kila nikimuona kibu naamini huku duniani kuna uchawi
Ni sheria namba ngapi mkuu tukafungue msahafuBeki amerudisha huo mpira kwa kichwa kwa kipa kwa makusudi amedhamiria hilo ni kosa
Ni faida kwetu Simba.na hii inafaiada sana jwa azam kwasababu wangecheza rough ya pili ingewekwa penalty tena
Tutashinda ila tutakuwa tumetokwa jasho maana Azam wanakuja kama wote aseeSimba nini hiki tunaanza kupaki bus, tutakufa dk za mwisho hapa.
ulitaka kuweka 'a' hapo!!Kibu ni kum tu
Apewe hata miaka 5 Azam itakuwa vizuri sana.Kwa mpira wa AZAM huyu kocha msomali yuko vzur...AZAM isimuache..
Sema nao mods wanaelewa kwamba kuna matusi ambayo hayana madhara, yani hii mode ya kishabiki inaweza kupelekea uandike neno loloteulitaka kuweka 'a' hapo!!
ukaogopa ban za kizembe!
Ndio kombe lao kwani hujuiAzam utadhani ni fainali ya CCL