Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

GSM hajaongea na wachezaji wa Azam kweli[emoji848][emoji848]
 
Air Manila.....Simba wamezubaa sana hapo nyuma.

Tulipigwa kipindi cha kwanza hii game itakuwa ngumu sana maana wachezaji wa Simba Sc huwa ni wepesi sana kutoka mchezoni wakitanguliwa
 
Azam walipata kona hapa ila wakashindwa kuitumia nafasi hiyo kutengeneza goli, na baadaye ikatokea counter attack ambayo likuwa hatari kwenye lango la azam
 
Kibu denis alipiga v pass ila mmaliziaji alikuwa mbali na mpira ukaondoahwa kwenye wneo la hatari na mchezaji wa azam
 
Back
Top Bottom