Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Oyaaah wakuu, hawa Azam nao wanalitaka kombe wanagusa pasi.
 
Pasi zinazopita upande wa juu mashariki mwa uwanja zinakuwa na madhar sana kwa azam na kuipa faida simba
 
Back
Top Bottom