Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Pumbavuu zako mc nani kakuambia anahitaji kujua nani kachulua mara nyingi na nani kachikua mara chache?
 
Wana yanga eeeh, yule mudathir yahaya aliyepata penalt ya 9 kaanzia bench
 
Haya sasa now mpira umeanza rasmi dakika 45 za kipindi cha kwanza hizoo....here we go
 
Mpira umeanza kwa speed na simba inashambulia
 
Kapombe kachezewa foul na mpira wa freekick unapigwa kuelekezwa azam eneo jirani na penalty box
 
Bwalya kapiga shuti liloenda nje ya lango
 
Simba wameingia na mentality ya kushambulia kuliko kulinda.
 
Zimbwe amejaribu shuti la mbali lakini limeenda nje ya lango
 
Back
Top Bottom