Real madrid na Athletico madrid za bongo zinacheza nyinyi mmetolewa mnaenda Tanga mkakutane na albadri Mkwakwani uko.Sipotezi muda wangu kuangalia mataputapu
Acha team bora ishinde leo, Azam hawajaja kizembe mkuu. Kuna muda wanapiga mpira mzuri sana.Kwan Azam wameahidiwa nini kwenye hii game,[emoji848][emoji848]
Boss huna link?Pasi zinazopita upande wa juu mashariki mwa uwanja zinakuwa na madhar sana kwa azam na kuipa faida simba
wamekomaa mno utasema kombe la dunia[emoji848][emoji848]Acha team bora ishinde leo, Azam hawajaja kizembe mkuu. Kuna muda wanapiga mpira mzuri sana.
Tepsi Evans [emoji91][emoji91]
hii hainga link mzee ni mpaka uwe na card number ya azam ndo unaweza kuangaliaBoss huna link?
Tukiweza kuwazuia kipindi cha kwanza wasipate goli, tukirudi itakuwa ni habari nyingine. Kwasasa sioni mpira kabisa.Simba Bado hatujatulia