Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Tumewachoka. Ebu acheni wachezaji wenu wacheze. Mnataka ushindi hata mpira haujaisha? Nadhani ni kazi rahisi!!! Mnaboa sana. Kwan Azam wameenda kula wali hapo..... Mtawauwa wachezaji wenu mbumbumbu nyie
Yaani simba, Kibu haeleweki namba anayocheza, Kagere haijulikani, Kanoute na Bwalya hawajulikani wanacheza namba gani
 
mnasema Kagere haonekani kwa sababu hatengeneze nafasi ukiangalia marudio ya ile nafasi ambayo Kibu alipiga shut kipa akaitoa Kagere alimuomba ampenyeshee mapema tu ila jamaa akachagua kupiga na ile angeipata Kagere ingekuwa goli maana alikuwa kwenye nafasi nzuri zaid
 
kwa nini ile mechi mliopigwa goli 9 mlikuwa mnamlaumu Moloko[emoji848][emoji848]
 
Daaaah tumekosa nafasi hapa adhimu kweli
 
Back
Top Bottom