Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kuna mtu atakufa hata kimojaHii ngoma inaenda matuta tena leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu atakufa hata kimojaHii ngoma inaenda matuta tena leo.
Tulipowaambia mmesajiri magarasa hamkusikiaYaani simba, Kibu haeleweki namba anayocheza, Kagere haijulikani, Kanoute na Bwalya hawajulikani wanacheza namba gani
Mamamamammama
Yaani simba, Kibu haeleweki namba anayocheza, Kagere haijulikani, Kanoute na Bwalya hawajulikani wanacheza namba gani
Ametumaliza kabisa, Kibu hana uwezo maana kama ni nafasi kapewa sana ila hakuna improvement yoyote.
Kwan wapo wawili masta?Kocha amwingize sakho jamani tunaelemewa
Simba hatujacheza vizuriii kabisaaa
Hii ngoma inaenda matuta tena leo.