Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu mtashinda kila kombe, tulia utopolo.
Wala hatuna habari..tuko zetu bich twala upepo wa bahari...Mashabiki wa Yanga wana hasira sana utafikiri wao ndiyo Azam
There malicious intent that Malipo Yamekamilika Kwa Refa.Kweli kabisa. There was a malicious intent there. Kama refa akifanya fair ni red na penalt
jamaa unaumia sana tulia ikuingie vizuri [emoji382][emoji382]
Umeona eeh,,Kuna mdau namwambia hapa Kanoute anapaswa kuelekea bench if I were a coachPablo Toa Kanoute Ameshapanic na ana Yellow Card
subiri kwanzaPokea Taarifa Ya Muda.
Mabingwa mara 4 Mfululizo Tanzania bara Bado anaongoza Kwa 1, Dk ya 71
wakilimwa red watatia akiliAzam wanacheza faulo za kijinga sana, naona ile penalty imewatoa mchezoni.
angalia usije vunja hiyo t.v ya mkopo utambeba mkeo kwa mbeleko akikosa kipindi chake pendwa cha Kombolela
ulinzi zaidiHii sub Sijaielewa
Yan anatolewa Kagere anaachwa huyu Kibu?Kibu anafanya nini huko nyuma?